Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

1658995737275.jpg
 
Zamani mababu zetu na mabibì zetu walikuwa wanashinda almost uchi, hakukuwa na ulawiti, ubakaji wala upungufu wa nguvu za kiume.

Nenda fasta msikitini katafute wa kuwadanganya lakini sio hapa JF.

Ulaji mbovu, mfumo mbaya wa maisha ndio chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume
Ulaji mbovu.... hayo ndiyo maneno mengi tunayosema.Kama ni hivyo peleka hoja kwa mbunge wako akapeleke Dodoma viwanda vyote vya soda na vyakula vya makopo vifungwe na zisiingie kontena kutoka nje kuleta bidhaa za vyakula za viwandani ili kurudisha ulaji mzuri na kurudisha nguvu za kiume.
 
Tafiti za kitabibu zinaishia wapi.Kama ni kweli zipo zingeaminiwa na kutumiwa na serikali lakini haya matatizo hata mama Samia anayajua na hajaelekeza wizara zianze kutumia tafiti za kitabibu kueondosha tatizo.Sikusudii raisi wa Tanzania peke yake na hata wa Kenya na kwengineko hawajaamini hizo tafiti kwa vile sio za kweli kwenye hili tatizo.Zingekuwa tafiti zimejua tatizo basi sera zingeshatungwa kubadili hiyo munayoita lifestyle.
Ivi mkuu wew una umri gani kwanza?
 
Mama samia anajua nn na hajaelekeza kipi wizara husika?
 
Ukiwambia kuhusu kujistili wanawake, wagalatia wataanza kutukana waislam
Ewe mfuasi wa Mwamedi, kujisitiri hata kwenye Biblia kumesisitizwa sanaa yamkini kuliko katika Quran

Wala halihisishi Dini, na Uislam sio mavazi tu kama ilikuwa hujui

Tatizo la uvaaji wa hovyo ni tabia ya Mtu tu, wapo Waislam wengi wanawake wanavaa hijab bila chupi

Wapo Waislam wanaojiuza huku wametupia Nikab na mpaka tigo wanatoa

Unajua hilo?
 
Ulaji mbovu.... hayo ndiyo maneno mengi tunayosema.Kama ni hivyo peleka hoja kwa mbunge wako akapeleke Dodoma viwanda vyote vya soda na vyakula vya makopo vifungwe na zisiingie kontena kutoka nje kuleta bidhaa za vyakula za viwandani ili kurudisha ulaji mzuri na kurudisha nguvu za kiume.
ustaz suala la afya yako lipo mikononi mwako sio kwa mbunge wako. Usisubiri kila kitu serikali ikufanyie ili tatizo lako la nguvu za kiume liondoke. Wew personally amua kubadili lifestyle uone impact
 
Ewe mfuasi wa Mwamedi, kujisitiri hata kwenye Biblia kumesisitizwa sanaa yamkini kuliko katika Quran

Wala halihisishi Dini, na Uislam sio mavazi tu kama ilikuwa hujui

Tatizo la uvaaji wa hovyo ni tabia ya Mtu tu, wapo Waislam wengi wanawake wanavaa hijab bila chupi

Wapo Waislam wanaojiuza huku wametupia Nikab na mpaka tigo wanatoa

Unajua hilo?
Hawa watu wamekaririshwa kila kitu yan hakuna kureason!
 
ustaz suala la afya yako lipo mikononi mwako sio kwa mbunge wako. Usisubiri kila kitu serikali ikufanyie ili tatizo lako la nguvu za kiume liondoke. Wew personally amua kubadili lifestyle uone impact
Hapo tulikuwa tunakazia kuhusu hoja eti kuna utafiti wa kitabibu.Tukauliza utafiti huo unaishia wapi usiochukuliwa na kutengenezewa sera za kitaifa.
Maana yake hapo utafiti wangu kuhusu kuachia maungo wazi hadharani na huo unaoitwa utafiti wa kitabibu ni ngoma droo.Hakuna lolote la maana na kuwa tatizo walikuwa hawajalijua ndio sababu bado lipo. Watu (waathirika) wakijaribu huu utafiti wa kwangu wanaweza wakaona huu una ukweli zaidi
 
Zamani nilikuwa nikiwa nakuwa nikiwa kijana nilikuwa nikiona pingili za mwanamke baina ya mguu na goti nilikuwa naona ni sehemu ya tupu yake ila siku siku hizi nishazoea maana kuna vitu kuzuia macho kuona labda utafute dunia yako, huwa najiulizaga Mme anatoka na mke, mke kijimstari baina ya manyonyo mawili kinaonekana, yaani maungo yake mengi yapo wazi wazi huwa nafikiria sjui ni wanaume wa aina gani hawa

Lakini tusilaumu nguvu za kiume wala wala wanawake tujilaumu sisi wenyewe, ni Mara ngapi tukileta Sera za kujistiri humu(even kisabato type, maana wengi wakisikia neno stara wanazani tunataka kuwasilimisha au kuwavalisha shungi) mnatupiga mawe mnasema tamaduni za middle east na matusi kama yote??

Look!

Nakumbuka miaka ya bongo fleva ya wabana kuanza (let say 1999 mpaka 2007) wale mabinti Wa kwenye video zao walikuwa wakivaa suruali, vijinguo vile vya kuacha mgongo wazi ila kifua kimefunikwa, na min skirt, hawakuwahi kuacha maumbile yao wazi ila wazee wetu walikuwa wakipiga kelele wakidai ni uhuni, believe me sasa hivi ukiangalia zile video(the flash back) utaona wale walikuwa na adabu na hofu ya mungu kidogo hahahah, now days mmmmh ni uchi uchi vichupi chupi ko ni kweli vile vitu sio vya kuona Mara kwa Mara ukavizoea, hutakiwi kuvizoea unatakiwa kila ukiviona unastuka lakini sasa hivi ukitoka nyuki na kariakoo utaona kwa tani yako
Hii ndio imesababisha matatizo ya nguvu za kiume.Kwa sababu vile vya kufichwa tunaviona,macho na moyo umevizoea,hata ukiviona chumbani,waona ni vile vile ninavyoviona barabarani,huwezi kushtuka wala kusisimka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyooooo, unatakaje mkuu! mimi wa mtaani wanavutia lakini hasira zote nazimalizia kwa wife, kwa mke wangu sijawahi kufeli kwa sabu sioni cha ajabu hao wa mtaani nishakula sana ni vle vile tu hazina tofauti, wale wanaofeli ni wameanza mapenzi ukubwani ujana uliwapita ndio maana wanapagawa na wakaa uchi
Kinachoongolewa hapa ni kuzidi kwa matatizo ya nguvu za kiume.Ugonjwa ukiingia,kila mmoja anaumwa kivyake,hamuezi kufanana.Huko kuwaona wa barabarai na kumalizia hamu kwa mke wako,pia ni ugonjwa.
 
Hapo tulikuwa tunakazia kuhusu hoja eti kuna utafiti wa kitabibu.Tukauliza utafiti huo unaishia wapi usiochukuliwa na kutengenezewa sera za kitaifa.
Maana yake hapo utafiti wangu kuhusu kuachia maungo wazi hadharani na huo unaoitwa utafiti wa kitabibu ni ngoma droo.Hakuna lolote la maana na kuwa tatizo walikuwa hawajalijua ndio sababu bado lipo. Watu (waathirika) wakijaribu huu utafiti wa kwangu wanaweza wakaona huu una ukweli zaidi
Kwahyo ww matokeo ya utafiti wako yanaonesha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume litaondolewa na wanawake kuvaa mashuka? 😁😁
 
Sio kuvaa mashuka isipokuwa ni kujisitiri vyema na kutokuonesha mapambo yao.
 
Kinachoongolewa hapa ni kuzidi kwa matatizo ya nguvu za kiume.Ugonjwa ukiingia,kila mmoja anaumwa kivyake,hamuezi kufanana.Huko kuwaona wa barabarai na kumalizia hamu kwa mke wako,pia ni ugonjwa.
Nyie jamaa mna negative mind dhidi ya wanawake sana.
 
Sio kuvaa mashuka isipokuwa ni kujisitiri vyema na kutokuonesha mapambo yao.
Acha kujificha kwenye kichaka cha nguvu za kiume ,wew sema unataka wanawake wote wavae yale mashuka meusi mpaka macho hawaonekani. Sasa hii sio nchi ya kiislam na pia wanawake wapewe uhuru wao waenjoy life acheni kupangia binadam wenzenu maisha
 
Kusema kuona maungo ya mwanamke ni chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume huo ni uongo.Kama ni hivyo basi tusingekuwa na hamu ya kula chakula muda wote tungekuwa tumeshiba,maana kila sehemu tunazopita tunakutana na vyakula vilivyonakshiwa vizuri,chips,pilau nk
 
Tatizo la nguvu za kiume sikulianzisha mimi.Nimelisikia tu na mimi nikaona niingie kutafiti.Sasa wewe hii tiba huipendi kwa kuwa inahusiana na wanachofanya waislamu.Kuhusu kujisitiri si lazima uvae hayo unayoyaita mashuka meusi, Hata wakristo kama hawataki kuvaa magauni kama aliyovaa bikira Maria basi angalau wasivae nguo za kubana na nyepesi.Wavae vitenge vyao vizuri na watakuwa wamejisitiri.
 
Kusema kuona maungo ya mwanamke ni chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume huo ni uongo.Kama ni hivyo basi tusingekuwa na hamu ya kula chakula muda wote tungekuwa tumeshiba,maana kila sehemu tunazopita tunakutana na vyakula vilivyonakshiwa vizuri,chips,pilau nk
Huyu jamaa mm namjua vizuri sana, hyo issue ya nguvu za kiume ni kichaka tu ila ana agenda nyingne, ngoja utaona
 
Back
Top Bottom