hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😁😁😁!Nitafia juu ya kinena...
😂😂😁😁😁!Nitafia juu ya kinena...
Mleta mada aweke picha...😂😂😁😁😁!
Wakija weee firimbaa tyu🤣🤭!
Mmeambiwa muache kupenda kuangalia nusu nyuchi hukoo!
Super market food nyingi ni janga,chips kuku ulevi nakutokula vyakula vya asili ni janga kubwa mno.Tatizo la kupoteza nguvu linasababishwa na mavyakula tunayokula wala sio maungo ya dada zetu, kama ingekuwa hivo babu zetu wasingeweza kuoa wake wengi na kuwazalisha watoto weeengi.
Maana enzi hizo nguo ndo zilikuwa hakuna kabisa majitu yanatembea matupuuu