Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

Tatizo la nguvu za kiume sikulianzisha mimi.Nimelisikia tu na mimi nikaona niingie kutafiti.Sasa wewe hii tiba huipendi kwa kuwa inahusiana na wanachofanya waislamu.Kuhusu kujisitiri si lazima uvae hayo unayoyaita mashuka meusi, Hata wakristo kama hawataki kuvaa magauni kama aliyovaa bikira Maria basi angalau wasivae nguo za kubana na nyepesi.Wavae vitenge vyao vizuri na watakuwa wamejisitiri.
"sasa wewe hii tiba huipendi kwakuwa inahusiana na wanachofanya waislam" hiki sasa ndio ulichokusudia na sio hicho kichaka cha nguvu za kiume.
 
Kusema kuona maungo ya mwanamke ni chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume huo ni uongo.Kama ni hivyo basi tusingekuwa na hamu ya kula chakula muda wote tungekuwa tumeshiba,maana kila sehemu tunazopita tunakutana na vyakula vilivyonakshiwa vizuri,chips,pilau nk
Kwenye huo mfano wako nako kuna mazingatio yanayotupeleka kule kule. Mfano kila siku unapita njiani ukienda kazini unakutana na mama ntilie au wauza maandazi wameacha vyakula vyao vinang'ong'wa na nzi.Siku ukiwa na njaa kwanza utazunguka mitaani utafuta sehemu ambako wanafunika maandazi yao.Kila ukiyafikiri yale unayoyaona kila siku unajiona kama umeshiba.Wakati huo unaweza ukaingia kwenye mkahawa ukaagiza wali ukaletewa ukala ukashiba kwa njaa yako na ukaridhika kumbe wala haukupikwa vizuri kuliko ule wa mama ntilie.Hili ndilo linalotakiwa kwa masuala yanayoungana na roho kuhusu ndoa. Uone yule uliyenaye unashiba na ni mzuri bila kujua wengine wakoje.
 
tatizo vijana hawajiamini hilo ndio tatizo ila hakuna ungonjwa labda kama mtu alizaliwa nao kula vizuri fanya mazoezi mepesi jiamini
 
Ukweli mchungu upo hapa life style ya mlo ya Sasa inaharibu vitu vingi mno kwenye miili yetu!..
1691303945851.gif

Picha | Chagukula cha Wanaume wa...... (malizia hapo)
 
Inaweza kuwa kweli nilishaacha matumizi ya simu hasa izi za smartphone , nilijikuta narudi kwenye asili, kuna vitu nilikua siviwekei uzingativu hasa mazingira na mimea nilijikuta naanza kuviwekea .
 
Hizi ni story TU,
Tatzo Vijana hamtombani ipasavyo
 
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.

Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo.

Mabarabarani nako utakutana na wasichana wauzaji vyakula vya asili wakisema vinarudisha hizo nguvu lakini bado tu tatizo linaendelea kusumbua.

Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi.

Kwa shani yake Mwenyezi Mungu kawaumba wanawake katika maumbile mazuri sana na kuvifanya viungo vyao vivutie jicho la mtazamaji. Hakumalizia hapo akawataka viumbe wake wavae nguo ili kuvifuniko viungo hivyo ili visionekane kwa wasio waume zao.

Hata wakiwa kwa waume zao huko ndani pia wanatakiwa wasijiachie moja kwa moja.Wavae mavazi mepesi kama kwamba wanawaonea haya waume zao hao.

Athari ya wanawake kuonesha mapambo ya viungo vyao huko nje ni kuwa wanaume hata wasiopenda kuwaangalia huwa wanawaona na kugandisha sura zao akilini mwao.

Wanapofika ndani badala ya kukazia kuawaangalia wake zao akili huwa zinawarudisha kule barabarani. Kwa kila uzuri alionao mke wako lazima kutakuwa na wengine uliowaona wakiwa nusu uchi wakiwa wazuri kuliko wa kwako.

Mwisho wa yote matamanio yanagawnyika baina ya pale chumbani na kule barabarani.
Mtoa mada huna hoja upuuzwe...

Hakuna uhusiano wowote wa kuangalia mwanamke nusu uchi na nguvu za kiume..

Kinachoounguza nguvu za kume ni kutokufanya mazoezi na kuwa mwili lege lege.

Watu wa sasa ,,hawana mazoezi ya mwili,,hata kukata mti wa mpapai atahitaji kumwajiri kibarua akate,,
 
Hakuna upungufu wa nguvu za kiume baali wanawake wameonjwa sana na wanaume wameonja sana , swala hili limeibua mijadala mingi , mwanamke anaolewa akiwa tayari ashaonjwa na wanaume kibao na maumbile tofauti tofauti na wenye nguvu tofauti tofauti , sasa akiolewa na mwenye uwezo mdogo ndo anamvumilia kwa kiasi fulani lakini baada ya siku kadhaa ni hayo huyu mwanaume hafai [emoji45]
 
Mimi sielewi dalili za upungufu wa nguvu za kiume inakuwaje ?
 
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.

Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo.

Mabarabarani nako utakutana na wasichana wauzaji vyakula vya asili wakisema vinarudisha hizo nguvu lakini bado tu tatizo linaendelea kusumbua.

Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi.

Kwa shani yake Mwenyezi Mungu kawaumba wanawake katika maumbile mazuri sana na kuvifanya viungo vyao vivutie jicho la mtazamaji. Hakumalizia hapo akawataka viumbe wake wavae nguo ili kuvifuniko viungo hivyo ili visionekane kwa wasio waume zao.

Hata wakiwa kwa waume zao huko ndani pia wanatakiwa wasijiachie moja kwa moja.Wavae mavazi mepesi kama kwamba wanawaonea haya waume zao hao.

Athari ya wanawake kuonesha mapambo ya viungo vyao huko nje ni kuwa wanaume hata wasiopenda kuwaangalia huwa wanawaona na kugandisha sura zao akilini mwao.

Wanapofika ndani badala ya kukazia kuawaangalia wake zao akili huwa zinawarudisha kule barabarani. Kwa kila uzuri alionao mke wako lazima kutakuwa na wengine uliowaona wakiwa nusu uchi wakiwa wazuri kuliko wa kwako.

Mwisho wa yote matamanio yanagawnyika baina ya pale chumbani na kule barabarani.
Ila wale wazee wetu ilikuaje mana walikua wanajifunika kati tu hapo mbele kazi imeisha..........na ukiangalia nguvu za kiume zamani na sasa huwezi linganisha......mie kikubwa naona ni programming tu ya akili,,uzao huu wa sasa umeathirika sana na mambo ya kuendekeza ngono
 
Kizazi cha sasa wanafanya hayo mambo kama mashindano
 
Back
Top Bottom