Tatizo la kupoteza nguvu linasababishwa na mavyakula tunayokula wala sio maungo ya dada zetu, kama ingekuwa hivo babu zetu wasingeweza kuoa wake wengi na kuwazalisha watoto weeengi.
Maana enzi hizo nguo ndo zilikuwa hakuna kabisa majitu yanatembea matupuuu