Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mzee Kwayu alikuwa ni the best Principal kwa ile shule. Alipoondoka likaja dubwana fulani linaitwa chavila. Lile zee sijui lilitumwa. Likaja na system ya roll call, kukamata watoro, likaziba lile geti dogo la kuingilia jangwani kule.Daah, sikumbuki mkuu!
Kwani hata nilinunua basi?! Braza ambaye ndiye first born alianza kazi ndio akaniletea kama zawadi.
Ha ha haaa! Kitambo hicho nasoma pale Azania boyz upanga east. Hatari sana, japo shule tulikuwa haturubusiwi kwenda na hiyo kitu. Enzi hizo headmaster alikuwa Mr. David Kwayu, second master Mkongo, principal Mchompanga! Back in time!
Lile zee jamani....