New Rider
Senior Member
- Jun 29, 2021
- 122
- 258
- Thread starter
- #101
Ukiupata rudi hapa utugawie. Mimi niliutumia miaka ya 80
Bado sijaupata mkuu,
Ila kuna mwamba hapo juu katushauri tujaribu pale chuo kikuu (udsm).
Bila shaka kama nitafanikiwa kuupata nitaleta mrejesho hapa! Au yeyote atakaye upata pia basi please atushirikishe maana wahenga wanasema "kizuri kula na wenzako!"