Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Ila kuna haja Sheria ya ardhi ikafanyiwa maboresho.

Haiwezekani Ardhi yote ya Tanzania kuwa ni mali ya Rais kama msimamizi.

Ndiyo maana maRais wetu wamekuwa wakiiuza kadri wapendavyo kwa wageni.

Refer ardhi ya Loliondo na hiyo ya Bagamoyo waliyopewa Wazanzibar kwa utashi wa Rais peke yake 🙌
 
Ndio hilo eneo alipewa Rais Aboud Jumbe na Mzee Njerere ulizia vizuri

Alipewa ili kuhifadhia ng'ombe waliokua wakitolewa mikoa mbalimbali ndani ya Tanganyika kabla hawajasafirishwa ndani ya meli iliyokuwa ikiitwa Jitihada kuja Zanzibar. Eneo hili hakupewa kulimiliki moja kwa moja na ndio maana hata hati haikutolewa.
 
Hakuna la maana utalipata humu jf katika mada hii sababu wapinga bandari (kwa sababu zao tunazozijua) ndiyo hao hao watakaochangia hovyo hovyo ili muradi tu kujaribu kuzitoa stress zao za kushindwa kuzuia mazuri ya bandari.
 
Kwa hiyo dada yao anataka kuwagawia eneo letu rasmi 🤔🤔 upumbavu wa kiwango cha lami kabisa huu, kwa sababu siamini kabisa kama mwalimu Nyerere aliwapa jumla hilo eneo na ndio maana hawana hati za kuthibitisha kwamba hilo eneo ni la kwao, watuondolee upumbavu wao hapa shenziiiiiiiiiiii kabisa hao 😡😡😡😡
 
Ukinipa eneo lako ninenepeshee ng'ombe wangu, siku nikiachana na huo mradi hiyo ardhi inakuwa ya kwangu. Tusisumbuane😠
 
Kwa hiyo dada yao anataka kuwagawia eneo letu rasmi 🤔🤔 upumbavu wa kiwango cha lami kabisa huu, kwa sababu siamini kabisa kama mwalimu Nyerere aliwapa jumla hilo eneo na ndio maana hawana hati za kuthibitisha kwamba hilo eneo ni la kwao, watuondolee upumbavu wao hapa shenziiiiiiiiiiii kabisa hao 😡😡😡😡
ficha huo upumavu wako hiyo ni tangia baba wa taifa na ilikuwa hekta 17,000 na imepunguzwa na kubaki hekta 6,000.
 
Wazanzibari hawana shukrani! Tanganyika iliwapa favours nyingi sana kwenye elimu na vitu kama hivi. Naamini Baba wa Taifa alipolitoa, ilikuwa katika kujaribu kuwasaidia kupata nyama. Tangu wamelitelekeza, leo ndo wamekumbuka! Wakwende zao huko!
 
Huyu ni mzazibar lazima atetee Zanzibar.
Hilary, ambaye pia aliasisi kipindi cha Charanga Time kilichomzidishia umaarufu akiwa Radio One Stereo, alizaliwa Zanzibar miaka 56 iliyopita eneo la Jang’ombe. Aliwahi kunusurika kuuawa kwa risasi mwaka 1964, siku moja baada ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyoundoa utawala wa Sultan na kuiweka Serikali ya Watu wa Zanzibar.
1964-2023 ni miaka 59, how bado ana miaka 56?
 
Hakuna documents za umiliki kwa upande wa Zanzibar zaidi ya maneno kama hayo, kesi ipo mahakamani Watanganyika wameifungua
Hiyo kesi hata mimi nitachangia gharama, Mwl Nyerere hawezi kuwa mjinga kiasi hicho awape ardhi yetu bure watu wa kuja moja kwa moja
 
Wazanzibari hawana shukrani! Tanganyika iliwapa favours nyingi sana kwenye elimu na vitu kama hivi. Naamini Baba wa Taifa alipolitoa, ilikuwa katika kujaribu kuwasaidia kupata nyama. Tangu wamelitelekeza, leo ndo wamekumbuka! Wakwende zao huko!
Maza kawaambia waje wachukue ardhi ya bure Tanganyika
 
Back
Top Bottom