Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA), marehemu Rais Julius Nyerere alilikabidhi kwa Rais wa Pili wa Zanzibar, Abood Jumbe, lilikuwa likitumika kuwanenepesha ng’ombe kabla ya kusafirishwa kwenda Zanzibar.

“Kulikuwa na Meli inaitwa Jitihada iliyotumika kuwasafirisha ng’ombe, baadaye mradi huo ulififia na hakukuwa na ng’ombe wanaosafirishwa, eneo likabaki tu kwa muda mrefu.

“Watu wengi wameona liko tupu wakanza kuvamia, kuna watu walianza kuuziwa na wengine wakawa wanaambiwa jenga haraka.”

Alipoulizwa kuusu Hati
“Kuhusu nyaraka zikiwemo Hati zinafanyiwa kazi kwa sasa.”

"Tulipoona uvamizi unaendelea ndipo tukatoa taarifa, eneo hilo lina ukubwa wa Hekari 6,000, kabla ilikuwa zaidi ya 17,000, likapunguzwa kwa makubaliano ya Zanzibar na hao waliogaiwa.

“Sehemu ya eneo hilo pia linaingia shamba la miwa la Bakhresa, kwa sasa Serikali inaangalia na muda mfupi ujao tutajua kitakachofanyika pale.”
Chanzo: PowerBreakfast (Clouds FM)
Unasaidiwa eneo kwa muda, baadae unasema mali yako.
 
Hekari 17,000 walikuwa wananenepesha ng'ombe wangapi at a time?

Lifutiwe umiliki kwa kutoendelezwa halafu lipangwe wauziwe wenye uhitaji.
 
Kama aliweza kuwapa basi yoyote kesho anaweza kuwanyanganya; ukizingatia walichopewa kufanyia sasa hivi hawakifanyi....

Haya mambo bora kukaa kimya kuyaelezea ndio yanazini kuleta taharuki..., kama vyote ni vyetu iweje hiki kiwe chao na hiki chetu ? Ukizingatia wanachosema chao kipo kwetu ?!!!!
 
... wamesema wana-fast track hati itoke haraka iwezekanavyo. Unajua ardhi ni mamlaka ya rais? Basi hati ya razaba itatoka mapema.
Mpaka sasa hiyo sio ardhi yao, na aliyejenga humo au kuuziwa inabidi alipwe fidia wakitaka kumtoa
 
Wizi mtupu, lilipaswa kuwa na hati tangu awali, Watanganyika tuamke tuache upole, tutaporwa mali zetu
 
Mpaka sasa hiyo sio ardhi yao, na aliyejenga humo au kuuziwa inabidi alipwe fidia wakitaka kumtoa
... huyo aliyejenga humo kama ana hati atalipwa fidia; kama hana imekula kwake. Mamlaka ya rais juu ya ardhi ni makubwa sana nchi hii.
 
Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA), marehemu Rais Julius Nyerere alilikabidhi kwa Rais wa Pili wa Zanzibar, Abood Jumbe, lilikuwa likitumika kuwanenepesha ng’ombe kabla ya kusafirishwa kwenda Zanzibar.

“Kulikuwa na Meli inaitwa Jitihada iliyotumika kuwasafirisha ng’ombe, baadaye mradi huo ulififia na hakukuwa na ng’ombe wanaosafirishwa, eneo likabaki tu kwa muda mrefu.

“Watu wengi wameona liko tupu wakanza kuvamia, kuna watu walianza kuuziwa na wengine wakawa wanaambiwa jenga haraka.”

Alipoulizwa kuusu Hati
“Kuhusu nyaraka zikiwemo Hati zinafanyiwa kazi kwa sasa.”

"Tulipoona uvamizi unaendelea ndipo tukatoa taarifa, eneo hilo lina ukubwa wa Hekari 6,000, kabla ilikuwa zaidi ya 17,000, likapunguzwa kwa makubaliano ya Zanzibar na hao waliogaiwa.

“Sehemu ya eneo hilo pia linaingia shamba la miwa la Bakhresa, kwa sasa Serikali inaangalia na muda mfupi ujao tutajua kitakachofanyika pale.”
Chanzo: PowerBreakfast (Clouds FM)
WAZANZIBAR HALISI WANAONGEA
MKATABA WA MUUNGANO ETI HAUNA TAREHE YA MWISHO? AHOJI MWENYEKITI WA ZAMBARAU

Mh.Charles Hillary yuko sahihi....

Tanzania ni moja....

Muungano wetu ni wa KIPEKEE....majibu yake ni uwepo wa SERIKALI MBILI badala ya hamu ya wanaoitaka DOLA YA TANGANYIKA....

Tanganyika ILIFUTWA....

Hayati Nyerere akasema "Siwezi kuimeza Zanzibar ...ni ndogo sana....ardhi ya bara ni kubwa sanaa....".

Wajinga wa mambo haya wajue kuwa Zanzibar nako kumejaa sisi wenyeji wa kutoka huku bara....

Sensa ya 2012 ,Zanzibar ilikuwa na wakazi wanaokaribia milioni 1....

Sensa ya 2022 Zanzibar ina wakazi milioni 1.9.....

Ni kwa kuzaana kupi kwa wazanzibari kulikosababisha ongezeko hilo kubwa kwa muda mfupi huo ?!!!

Jibu ni kuwa TANZANIA ni moja na MUUNGANO wetu ni wa KIPEKEE na hauna REJEA kutoka miungano ya nchi nyingine......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Karudia ne KUSWAGWA kwa sababu ni janga la kitaifa mambo ya upinde kwa wanawake Zanzibar, yaani ni wengi zaidi wasiotaka kumuona mwanaume au kama wanae ni geresha kwa ajili ya dini tu lakini wao ni wanawake wao kwa wao.
Nikisema wote wote ndio hivyo hivyo basi fahamu maelezo, jiongeze.
 
Karudia ne KUSWAGWA kwa sababu ni janga la kitaifa mambo ya upinde kwa wanawake Zanzibar, yaani wapo wengi mno wasiotaka kumuona mwanaume au kama wanae ni geresha kwa ajili ya dini tu lakini wao ni wanawake wao kwa wao.

KWA SHERIA IPI ZANZIBAR IWE NA ENO TANGANYIKA?
Ndio maana masuala ya PROTOKALI za kidiplomasia YANASOMEWA.....

Mbona kuna mengi yangekutia JAZBA kwa sababu tu ya kutanguliza HISIA zisizo na ADA za UHALISIA.....

Tanzania ni moja......

Zanzibar si KENYA...

Muungano wetu ni wa KIPEKEE...

#Siempre El Commandante JKN ,amen [emoji120]
 
Back
Top Bottom