Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
That was 2016.all from google
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That was 2016.all from google
Acha maneno ndugu, leta hati utasemaje unamiliki ardhi na hauna hatiWacha kupotosha hilo shamba halijaporwa hao smz wanalimiliki ki halali kabisa nyerere kwa mahaba yake Alimpa Aboud Jumbe litumiwe na Smz
Sheria ya ardhi haiendeshwi na kauli ya msemaji wa SMZ. Siku akisema ardhi ya Zanzibar nzima ni ya bilionea mmoja kutoka Oman mtakubali kisa ni msemaji?Kwa mujibu wa huyo msemaji wa Smz aliejenga humo ndio imekula kwake
ficha huo upumavu wako hiyo ni tangia baba wa taifa na ilikuwa hekta 17,000 na imepunguzwa na kubaki hekta 6,000.
Kajifunze kwanza kuandika alafu urudi tena akili ikiwa imetuliaficha huo upumavu wako hiyo ni tangia baba wa taifa na ilikuwa hekta 17,000 na imepunguzwa na kubaki hekta 6,000.
Hati ipoAngalizo tu; wachangiaji baadhi wajue hilo eneo limetolewa tangu enzi za Mwalimu. Wasije kufikiria ni awamu ya sita. Maana kuna wavivu wa kusoma history ya nchi ila wepesi kujadili history ya nchi wasiyoijua.🙏🙏🙏
SOMA UELEWE, ACHA TALALILASasa kama alizaliwa miaka 56 iliyopita (1967); miaka 59 iliyopita (1964) alinusurika vipi kuuwawa ilhali kwa maelezo yako hakuwa amezaliwa?
Kwa kauli hii wananchi iwa Tanganyika wana haki ya kuichukua ardhi hiyo maana hakuna mtu aliye juu ya sheria. Rais aliyepo alipoingia tu madarakani akaanza kupindua maamuzi ya mtangulizi wake kwa hiyo hata yeye akiondoka kile alichokiamua sasa kitaondoshwa na waliopewa wakishupaza shingo watanyang'anywa na kugawiwa wananchi wenye mahitaji ya ardhi.Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA), marehemu Rais Julius Nyerere alilikabidhi kwa Rais wa Pili wa Zanzibar, Abood Jumbe, lilikuwa likitumika kuwanenepesha ng’ombe kabla ya kusafirishwa kwenda Zanzibar.
“Kulikuwa na Meli inaitwa Jitihada iliyotumika kuwasafirisha ng’ombe, baadaye mradi huo ulififia na hakukuwa na ng’ombe wanaosafirishwa, eneo likabaki tu kwa muda mrefu.
“Watu wengi wameona liko tupu wakanza kuvamia, kuna watu walianza kuuziwa na wengine wakawa wanaambiwa jenga haraka.”
Alipoulizwa kuusu Hati
“Kuhusu nyaraka zikiwemo Hati zinafanyiwa kazi kwa sasa.”
"Tulipoona uvamizi unaendelea ndipo tukatoa taarifa, eneo hilo lina ukubwa wa Hekari 6,000, kabla ilikuwa zaidi ya 17,000, likapunguzwa kwa makubaliano ya Zanzibar na hao waliogaiwa.
“Sehemu ya eneo hilo pia linaingia shamba la miwa la Bakhresa, kwa sasa Serikali inaangalia na muda mfupi ujao tutajua kitakachofanyika pale.”
Chanzo: PowerBreakfast (Clouds FM)
Hati ya kitu gani na hilo eneo wanalo na wanalitumiaAcha maneno ndugu, leta hati utasemaje unamiliki ardhi na hauna hati
Wewe kama unabisha nenda kajenge hilo eneo halafu uone watafanyajeSheria ya ardhi haiendeshwi na kauli ya msemaji wa SMZ. Siku akisema ardhi ya Zanzibar nzima ni ya bilionea mmoja kutoka Oman mtakubali kisa ni msemaji?
Wewe nenda kajenge halafu uone watafanyajeKwa kauli hii wananchi iwa Tanganyika wana haki ya kuichukua ardhi hiyo maana hakuna mtu aliye juu ya sheria. Rais aliyepo alipoingia tu madarakani akaanza kupindua maamuzi ya mtangulizi wake kwa hiyo hata yeye akiondoka kile alichokiamua sasa kitaondoshwa na waliopewa wakishupaza shingo watanyang'anywa na kugawiwa wananchi wenye mahitaji ya ardhi.
Haiwezekani Zanzibar ambayo ina ardhi yake ambayo wananchi wa Tanganyika wakiomba wanakataliwa halafu wao wanapewa haki ya kumiliki kienyeji bila kufuata sheria na taratibu huku wenyeji wakikosa ardhi ya kuendeleza shughuli za kijamii.
Mpaka Oktoba hizo ekari 6,000 zinazodaiwa kubaki zitakuwa zimebaki ekari 500 tu na hakuna wa kuwanyang'anya na atakayetghubutu kufanya hivyo ama kwa kutumia madaraka au sheria watashindwa.
Acheni kipoteza focus ya watanzania waanze kujadili ardhi hewa ya Wazanzibari badala ya kujadili Bandari za Yanganyika.Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA), marehemu Rais Julius Nyerere alilikabidhi kwa Rais wa Pili wa Zanzibar, Abood Jumbe, lilikuwa likitumika kuwanenepesha ng’ombe kabla ya kusafirishwa kwenda Zanzibar.
“Kulikuwa na Meli inaitwa Jitihada iliyotumika kuwasafirisha ng’ombe, baadaye mradi huo ulififia na hakukuwa na ng’ombe wanaosafirishwa, eneo likabaki tu kwa muda mrefu.
“Watu wengi wameona liko tupu wakanza kuvamia, kuna watu walianza kuuziwa na wengine wakawa wanaambiwa jenga haraka.”
Alipoulizwa kuusu Hati
“Kuhusu nyaraka zikiwemo Hati zinafanyiwa kazi kwa sasa.”
"Tulipoona uvamizi unaendelea ndipo tukatoa taarifa, eneo hilo lina ukubwa wa Hekari 6,000, kabla ilikuwa zaidi ya 17,000, likapunguzwa kwa makubaliano ya Zanzibar na hao waliogaiwa.
“Sehemu ya eneo hilo pia linaingia shamba la miwa la Bakhresa, kwa sasa Serikali inaangalia na muda mfupi ujao tutajua kitakachofanyika pale.”
Chanzo: PowerBreakfast (Clouds FM)
Nyerere aliwapa kwa amri na amri ya Raisi ni sheriaNyerere aliwaadhima wanenepeshe ng'ombe. Ila awamu ya 6 ndio inataka kutoa hati ya umiliki. Kama si hivyo Nyerere kwa nini aliwapa bila hati?
Zanzibar yote😜😜Iko wapi sehemu ya Tanganyika nchini Zanzibar?
ProveZanzibar yote😜😜
Pia kuna Sheria inasema ukipewa au ukiwa na Ardhi na haujaiendeleza kwa miaka 3 , Ardhi hiyo utaweza kuipoteza..na hati nyingi za zamani ukomo wake ulikua ni 33yrs... alafu naomba kujua.. serikali pia inajitengenezeaga hati!?... Na kama jibu ni ndio...hati za upande wa bara zinaandikwa kwa jina gani!? Na ni nani custodian wake!?....wanaojua wanisaidie majibu tafadhali.Unasaidiwa eneo kwa muda, baadae unasema mali yako.