Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wabongo utawaweza wao kila mtu wanawaza namna hiyo.NO, NO, NO na sitaki kusadikisha hata kidogo na hilo, alafu imekuwa tabia ya ajabu sana mtu akiwa na grant fulani eti ni kipenyo, ni mtumishi wa kawaida tu although hata wewe ni afisa kipenyo kwa Taifa lako.
Dini yoyote ambayo inafundisha chuki na dharau dhidi ya binadamu wengine ambao hawaamini dini yao, hiyo ni dini ambayo haifai kabisa.Huyo nasikia ni mzaliwa wa Jang'ombe sema huu ukafir kautoa wapi au ndio aliweka jina la bosheni lakini ni mandevu?
Ikulu ni zaidi ya yote mkuu.Mema ya nchi unayapata hapo.Hongera zake Mzee wa charangaKwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
Tufunge jf wote tuombe kwa ajili yakeWamkumbuke huyu wa kwetu jf naye
Ova
Nadhani kuna kitu ame-trade off na nadhani ni kuhusu mkataba wake Azam uenda unakaribia kuisha. Azam walimchukua BBC kwa hela ndefu sana sidhani kama italingana hata robo na hela za serikali (Ikulu).Ikulu ni zaidi ya yote mkuu.Mema ya nchi unayapata hapo.Hongera zake Mzee wa charanga
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nilisoma naye shule moja, ni mtu mwenye mahusiano/asili ya ZanzibarCharles Hillary ni Mzanzibari?
Huyu ni kama mzaliwa wa mpakani mwa Geita na Mwanza kama sikosei.Charles Hillary ni Mzanzibari?
Upo sahihi kabisa hata mimi najua ni Mtu wa maeneo ya Geita na Mwanza yaani maeneo yanayo pakana kana nyehunge, iseni, kalebejo huko, na maeneo mengine lakini ni kati ya Mwanza na Geita.Chaz ni mwenyeji wa nyehunge sengerema, na kwao napajua. Nitaleta picha ili wakanushe.
Tatizo mausalama wengi hupindisha cv zao
Weee mtu anamiaka 40 ya uandishi wa habari bado anahitaji job security? Jiulize kazi alianza na miaka mingapi na sasahivi ana mingapi, huyo hata azam wangemfukuza jana bado asingeishi kwa shidaJob security.
Duuu! Acha utani boss, mi4 mbona mingiMarin alishafariki yapita miana 4 sasa
Yeye kazaliwa zanzibarHuyu ni kama mzaliwa wa mpakani mwa Geita na Mwanza kama sikosei.
Labda ila miaka yote najuaga amezaliwa kanda ya ziwaYeye kazaliwa zanzibar
Inawezekana wazazi wake wanatokea huko, alizaliwa znz na aliondoka znz at the age of 9Labda ila miaka yote najuaga amezaliwa kanda ya ziwa
Mkuu unaongea kinyume au? Hao akina sabaya walikuwa na elements zozote za weledi?Anastahili Hongera zake!
Raisi Mwinyi kaiva kabisa kuwa Raisi anathamini Taaluma na Weledi kama Magufuli (RIP) na siyo mipasho, majungu na fitna kama huku kwetu.
Kila la Heri raisi Mwinyi na watu wa Zanzibar wana bahati kuwa Kiongozi!
Mtanzania wa Mahenge km sikosei, Makao Sinza MoriNdiyo ni mzanzibar
shikamooNilisoma naye shule moja, ni mtu mwenye mahusiano/asili ya Zanzibar
umeharibu kumtaja MagufuliAnastahili Hongera zake!
Raisi Mwinyi kaiva kabisa kuwa Raisi anathamini Taaluma na Weledi kama Magufuli (RIP) na siyo mipasho, majungu na fitna kama huku kwetu.
Kila la Heri raisi Mwinyi na watu wa Zanzibar wana bahati kuwa Kiongozi!