Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

NO, NO, NO na sitaki kusadikisha hata kidogo na hilo, alafu imekuwa tabia ya ajabu sana mtu akiwa na grant fulani eti ni kipenyo, ni mtumishi wa kawaida tu although hata wewe ni afisa kipenyo kwa Taifa lako.
Wabongo utawaweza wao kila mtu wanawaza namna hiyo.
 
Huyo nasikia ni mzaliwa wa Jang'ombe sema huu ukafir kautoa wapi au ndio aliweka jina la bosheni lakini ni mandevu?
Dini yoyote ambayo inafundisha chuki na dharau dhidi ya binadamu wengine ambao hawaamini dini yao, hiyo ni dini ambayo haifai kabisa.
 
Ikulu ni zaidi ya yote mkuu.Mema ya nchi unayapata hapo.Hongera zake Mzee wa charanga

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nadhani kuna kitu ame-trade off na nadhani ni kuhusu mkataba wake Azam uenda unakaribia kuisha. Azam walimchukua BBC kwa hela ndefu sana sidhani kama italingana hata robo na hela za serikali (Ikulu).
 
Chaz ni mwenyeji wa nyehunge sengerema, na kwao napajua. Nitaleta picha ili wakanushe.

Tatizo mausalama wengi hupindisha cv zao
Upo sahihi kabisa hata mimi najua ni Mtu wa maeneo ya Geita na Mwanza yaani maeneo yanayo pakana kana nyehunge, iseni, kalebejo huko, na maeneo mengine lakini ni kati ya Mwanza na Geita.
 
Job security.
Weee mtu anamiaka 40 ya uandishi wa habari bado anahitaji job security? Jiulize kazi alianza na miaka mingapi na sasahivi ana mingapi, huyo hata azam wangemfukuza jana bado asingeishi kwa shida
 
Anastahili Hongera zake!

Raisi Mwinyi kaiva kabisa kuwa Raisi anathamini Taaluma na Weledi kama Magufuli (RIP) na siyo mipasho, majungu na fitna kama huku kwetu.

Kila la Heri raisi Mwinyi na watu wa Zanzibar wana bahati kuwa Kiongozi!
Mkuu unaongea kinyume au? Hao akina sabaya walikuwa na elements zozote za weledi?
 
Anastahili Hongera zake!

Raisi Mwinyi kaiva kabisa kuwa Raisi anathamini Taaluma na Weledi kama Magufuli (RIP) na siyo mipasho, majungu na fitna kama huku kwetu.

Kila la Heri raisi Mwinyi na watu wa Zanzibar wana bahati kuwa Kiongozi!
umeharibu kumtaja Magufuli
 
Back
Top Bottom