Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

Hii mada siyo ya CCM wala CHADEMA bali ni kumshauri mzee Kimei arudi katika taaluma yake asikae bungeni kujibizana na vijana wadogo rika la watoto wake wa kuzaa.
 
Hii mada siyo ya CCM wala CHADEMA bali ni kumshauri mzee Kimei arudi katika taaluma yake asikae bungeni kujibizana na vijana wadogo rika la watoto wake wa kuzaa.

Kama unataka kumshauri Mzee wako kwanini usimfuate nyumbani kwake na uone kama atakusikiliza ; kumbuka huyu ni mtu mzima mwenye malengo yake katika maisha hivyo usifikirie kuwa hajui anachofanya!!! Bungeni yupo kulinda ubawa wake.
 
Ni tatizo la miaka mingi sana hili wasomi kibao, tena wenye kila kitu Chenye kufaa ktk taaluma zao na kuhitajika katika ulimwengu lakini wanaishia siasani ni mifumo mibovu ambayo ina mizizi ya miaka mingi tu ,hapa nchini wasomi wengi mnooo zaidi hata ya kimei lakini walijiingiza kusiko stahili kabisa.........
 
"One of the most exposed"; hapa unamaanisha nini?

Exposure ni "noun" sasa "verb" yake ni ipi?

Expose: to provide someone with the opportunity to experience new ideas, activities etc so that they can learn about them.

For Example: Schools are again exposing children to the classics.
 
Hivi siasa inaondoa 'expertise' ya mtu? Bado consultatuions zake zipo palepale hata akiwa mbunge kwani utaalamu alionao hauhami. Kwa hili la mzee Kimei, inaonyesha ni kiasi gani he can serve multipurposely.
 
Kukaa bila kazi nayo ni kazii sana ,halafu bado anasomesha huyo kijana...
 
Most exposed?Una maanisha?
Exposure ni "noun" sasa "verb" yake ni ipi?

Expose: to provide someone with the opportunity to experience new ideas, activities etc so that they can learn about them.

For Example: Schools are again "exposing" children to the classics.

Ninaomba unisahihishe kama nimekosea mkuu.
 
Daaah inafikirisha sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…