Charles Odero, afungua kesi Katika Mahakama Kuu kupinga tozo za Miamala ya Simu

Utawala dhalimu usiojali wananchi
 
Wapo kwenye V8
V8 moja ktk nchi masikini linakunywa lita 2000 kwa mwezi SAwa na sh milioni 4 na laki 8 SAwa na mishahara ya watumishi 10 kwa mwezi.Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini na kuwapeleka watoto shule na jumapili kanisani.
V8 moja ni SAwa na trekta 10 zinaweza ajiri vijana 100.V8 unajenga shule 5 za sekondari kwa nguvu ya wananchi.Jumla ya v8 zote ktk nchi masikini si chini 800.
Wakisimama majukwaani wanawadanganya watu umasikini wa mwafrika chanzo ni Mzungu.
 
Hizi nchi ni masikini mpaka akili za watawala
 
Mwamba anajeielewa sana , wengine wanasubiria teuzi tu hakuna kingine wamepooaaaaa kama maji ya mtungi, nchi ni ngumu sana hii, kiasi kwamba watu wanaungua lakini wanachekelea ili wasionekane wasaliti, sikiliza moyo wako usisubirie mpaka usaidiewe na watu, ukiwa na misimamo yako binafsi tosha tu, acha kutumia simu kwenye miamala acha kushabikia upuuzi wa aina yoyote ile ukiwa independent utaishi
 
Hizi hati na uendeshaji wa kesi unatakiwa uwe kwa lugha ya Kiswahili, sielewi kwanini mahakama zetu hadi sasa zinatumia lugha ya nje utadhani tupo hospitalini.

Tena iwe kwa maandishi ya kiarabu kama kiswahili kilivyokua kinaandikwa kabla ya “beneru” mjerumani ajatutawala.

Maama naona hujitambui! Hakuna tatitzo lolote la kutumia kiingereza kuliko lililopo katika kutumia Kiswahili. Kama hukijui then jifunze, kama hutaki then usitake wote tusitake bila sababu za msingi.
 
Watu waende kwa wingi kuhudhuria kesi
 
Utashitaki mahakamani mambo mangapi ndugu, katiba iliyochoka ndiyo inaletaniza haya yote ....ponya mzizi ili mmea ukue..achana ku-deal na matawi. Jiunge nasi tudai KATIBA MPYA for better Tanzania 🇹🇿
 
Huo ni upumbavu wa kutafuta cheap popularity. Hawezi kushinda kwa sababu sheria hiyo alisaini SSH baada ya kupitishwa na Bunge.

Wakulaumiwa ni wabunge, wamepunguza kodi za casinos etc na kuhamisha kodi hizo kwenye simu, ni uwendawazimu. SSH kazi ishamshinda, kuongoza nchi sio sawa na kuongoza NGO na kudandia mabasi.
 
Mtu Yuko ubelgiji anakunywa supu , alaf anakupa maelekezo uliyepo kwenye daladala za gongo la mboto , umebanana na unanuka jasho ...!!! Anyway huyu mwanaharakati nionyesheni accnt yake Twitter nimfollow
Ulifeli risasi unataweza twitani?
 
hatua nzuri.japokuwa bado.siziamini tena mahakama za watanzania
ambaye majaji wote wanateuliwa na rais
Rais alie pitisha hizihizo tozo za miamala ya simu
 
Tuungane nae katika hili sio tunapambana huku kwenye keyboard tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…