Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Ni mbaya mno mkamkashifu kutokana na hali yake ya ulemavu
Angemtania tu bila kuhusisha ulemavu wake
Dogo acheze mpira sio mzungumzaji mzuri, aachane na mike acheze mpira

Kila akiongea anaharibu
Kwani uzungu ni kashfa au matusi?
 
Kwa hiyo mwafrika mweupe kuitwa mzungu au Zungu ni kosa?

Mbona mimi ni mweusi tii kama mkaa au lami, lakini watu wakiniita blackie au mpingo nafurahi tu?

Kwa maoni yangu Chasambi hajafanya kosa lolote kutakiwa aombe msamaha.

Acha kuyatafutia maneno harmless maana mbaya.
 
Angemuita albino si ndo mngeandamana na matarumbeta kwenda kwa Trump na Mask kwenda kushitaki
 
Lkn amewafanyia mambo mengi mazuri kuliko mabaya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Lakini aliyafuta mazuri yote aliyoyafanya akiwa Simba Kwa jinsi alivyokuwa aki act Kama vile alikuwa na kisasi na Simba alikotoka.
Manara alishindwa kuelewa kuwa alikuwa na ugomvi na bosi wake Tu na wala si Timu ya Simba. Pamoja na umri wake wote huo hajui 'Utu Uzima ni dawa' Angetoka na kuhama Timu bila jeuri Kama alivyofanya, angejijengea heshima.
Hizi Timu kubwa Simba na Yanga si za viongozi Tu, zinawafuasi mamilioni, ilipaswa awe makini na maneno na kejeli zake
 
Can you explain it?
In summary, karma operates on the principle that our actions have consequences that affect not only ourselves but also others around us—shaping our present circumstances and future experiences through a continuous cycle of cause and effect.

For more knowledge... consult prophet mwamposa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…