Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Ni shabiki wa yanga mzungu alitrend kidogo halafu akapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shabiki wa yanga mzungu alitrend kidogo halafu akapotea
Ni mbaya mno mkamkashifu kutokana na hali yake ya ulemavu
Angemtania tu bila kuhusisha ulemavu wake
Dogo acheze mpira sio mzungumzaji mzuri, aachane na mike acheze mpira
Kila akiongea anaharibu
Kwani uzungu ni kashfa au matusi?KITENDO SI CHA KIUNGWANA
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.
Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.
Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu
@sanitizerrtz
Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mimi naona manara ni mkubwa Kwa yanga ndo maana wametumia kila mbinu kumpata baada ya kutoswa na SimbaManara na Simba .....nani ana followers wengi mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Manara ni mkubwa Kwa Simba
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Can you explain it?
kama mlivyojisweka mwiko huko nyuma
Kwa hiyo mwafrika mweupe kuitwa mzungu au Zungu ni kosa?KITENDO SI CHA KIUNGWANA
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.
Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.
Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu
@sanitizerrtz
Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aliblock gari la Magereza na bado akamtukana kamanda aliyemwambia asogeze wapite, tena kwa lugha lainiManara naye ni mtu wa kuombwa msamaha mshenzi yu yule kutwa kutukana watu
Hakutaja jina wacha ufala,nimesikia hiyo clipAlisema mzungu
Akaulizwa mzungu Gani?
Akamtaja Haji
Hii ni bongo mkuuApotee kivipi?Ngoja awaoneshe kazi.
Huna ndio maana unatumia TEKNO simu ya walevi.
Hajawahi fahamikaNi shabiki wa yanga mzungu alitrend kidogo halafu akapotea
Totally ni ubaguzi....but inadepend na imetumikaKwani uzungu ni kashfa au matusi?
Hapana Yanga alikuja mwenyewe willinglyMimi naona manara ni mkubwa Kwa yanga ndo maana wametumia kila mbinu kumpata baada ya kutoswa na Simba
Lakini aliyafuta mazuri yote aliyoyafanya akiwa Simba Kwa jinsi alivyokuwa aki act Kama vile alikuwa na kisasi na Simba alikotoka.Lkn amewafanyia mambo mengi mazuri kuliko mabaya
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
In summary, karma operates on the principle that our actions have consequences that affect not only ourselves but also others around us—shaping our present circumstances and future experiences through a continuous cycle of cause and effect.Can you explain it?
Yanga Haina historia ya wachezaji kujisweka [emoji23]kama mlivyojisweka mwiko huko nyuma