Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sisi tufanyaje? Hebu weka swali tulione labda tunaweza kukusaidia.AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi.
Au uwezo wake umeishia hapo?
Kuna namna ya kuandika swali upate majibu. Weka swali hapaAI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi.
Au uwezo wake umeishia hapo?
Naimani ya kuwa swali ni la kipuuzi.Kuna namna ya kuandika swali upate majibu. Weka swali hapa
Anatuonesha majibu bila swali.Ingejuwa ni vizuri ukaandika swali usaidiwe kutafutiwa majibu pengine hujui kutumia hiyo Ai
KABAKA28 anatakiwa aweke swali alilouliza hapa kwa sababu watu wengi hawajui haya AI ni nini na inafanyaje kazi. Kuna jamaa mmoja alichenikesha kweli kwa kuniambia eti ameuliza AI namba za gari yake ikashindwa kujibu. Wngi hudhani AI ni dude lenye uwezo wa kimungu na linaweza kutoa majibu ya kila kitu duniani.Naimani ya kuwa swali ni la kipuuzi.
Watanzia wengi hawana ujuzi na masuala ya AI naishauri serikali iweke course mashuleni hasa vyuo vikuu vya serikali ili tupate wataalamu wa hizi AI.KABAKA28 anatakiwa aweke swali alilouliza hapa kwa sababu watu wengi hawajui haya AI ni nini na inafanyaje kazi. Kuna jamaa mmoja alichenikesha kweli kwa kuniambia eti ameuliza AI namba za gari yake ikashindwa kujibu. Wngi hudhani AI ni dude lenye uwezo wa kimungu na linaweza kutoa majibu ya kila kitu duniani.
Tuna degree za *Hupi unataka tuongeze na za akili mnemba SasaWatanzia wengi hawana ujuzi na masuala ya AI naishauri serikali iweke course mashuleni hasa vyuo vikuu vya serikali ili tupate wataalamu wa hizi AI.
Ni project nafanya na Chat, tumefikia hatua ya execution ananiambia itachukua siku moja. Ndio maana nimeshangaa. Siwezi ku disclose maana ni biashara. Ukiaoma response zake utapata clue tunazungumzia nini.KABAKA28 anatakiwa aweke swali alilouliza hapa kwa sababu watu wengi hawajui haya AI ni nini na inafanyaje kazi. Kuna jamaa mmoja alichenikesha kweli kwa kuniambia eti ameuliza AI namba za gari yake ikashindwa kujibu. Wngi hudhani AI ni dude lenye uwezo wa kimungu na linaweza kutoa majibu ya kila kitu duniani.
utakuwa umeuliza kwa lugha ya kwenuAI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi.
Au uwezo wake umeishia hapo?
Point kubwa hapa ni muda anaochukua kujibu (1 day). Hata uulize swali la kipuuzi kiasi gani utajibiwa immediately. So kwangu mimi hii bi new experience kuambiwa nisubiri siku mojaWatanzia wengi hawana ujuzi na masuala ya AI naishauri serikali iweke course mashuleni hasa vyuo vikuu vya serikali ili tupate wataalamu wa hizi AI.