implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
AI yenyewe inatoa majibu toka kwenye sever,,haiwezi toa jibu nje ya hapo,,haifikirii nje ya box!!yafaa ujue Hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu na Grok ya Elon MaskAI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi.
Au uwezo wake umeishia hapo?
Kutokana na majibu yako inaonesha sisi wabongo tunakwama kipe gere cha kuiuliza AI . Kngine hio project itabaki ktk server za AI na itanakilisha majibu one day.Ni project nafanya na Chat, tumefikia hatua ya execution ananiambia itachukua siku moja. Ndio maana nimeshangaa. Siwezi ku disclose maana ni biashara. Ukiaoma response zake utapata clue tunazungumzia nini.
Anyway, my point was, kumbe chatGPT na gen AI zingine huwa zinafikia hatua zinahitaji muda zaidi ya saa moja. It was a na mtu mwingine kwa mamna yoyote.
Hii ikoje mkuu ? Ina tofauti gani ?Jaribu na Grok ya Elon Mask
Sasa unataka aumize kichwa. Ndio yale yale eti calculator zitalemaza akili bila kujua kuwa table zote za analog ni teknolojia ya kurahisha mahesabu ambapo calculator ni zaidi ya table baadae computer software na sasa AI. Mambo ya kukariri vitu ndio uwe msomi yanapitwa na wakati.yaani huyu chatGTP, anaenda kulemaza watu.
Kuna graduate mmoja nilikua namsaidia kuomba kazi.
KIla kitu anauliza chatgtp, kuandika barua, kuanda resume n.k.
aliponishangaza hafi kureply email alikuwa anatumia chatGTP.
Nikawa nawaza huyu ataweza kujieleza kweli kwenye interview.
Anyway labda ndio kukua kwenyewe kwa Technology
Grok ni AI pia, unapata kupita X/twitter.Hii ikoje mkuu ? Ina tofauti gani ?
Sasa mkuu hapo imekaaje. Maana AI kama chat gpt walitumia vitabu vingi sana kui ngiza data kuna mda nilisikia wanataka kufunguliwa mashtaka kutumia vitabu vya watu bila makubaliano.Most of these AI's ziko programmed kutoa majibu yaliyo political right. Hii inaapelekea saa zingine kukupa majibu chaka.
yes ni sahihi, lakini kuna muda zinaleta magaka, endelea kutumia tumia kuna siku utakuja kuibanini, although pia AI zinajifunza kila siku na kuji-update..Ok! Ntaijsribu.
Sasa mkuu hapo imekaaje. Maana AI kama chat gpt walitumia vitabu vingi sana kui ngiza data kuna mda nilisikia wanataka kufunguliwa mashtaka kutumia vitabu vya watu bila makubaliano.
Sasa iweje AI zitoe majibu chaka wakati vita u vingi na data nyjgine zimetumika, sasa mimi naweza kumkosoa AI alielishwa vitabu karibu vya dunia nzima na anaendelea kulishwa ? Sisi elimu yetu tumesoma tuvitabu tuchache tu na kupewa vyeti. Tena notes zenyewe wakufunzi hudownload za hao hao wazungu.
Au AI inashindwa ku organize/ recall hizo data ?
kuna wakati mwingine hizi akili mnemba nazo zinafanya makosa sana hasa kwenye kujibu baadhi ya maswali. hapa ndipo unakuja ule usemi wa chakuambiwa changanya na zko.. yaaani wakati anakupa majibu husika hakikisha basi unapembua na kuchambua kilichosahihi na kuacha kile ambacho sio sahihi.AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi.
Au uwezo wake umeishia hapo?
Fanya hima upgrade.Sijawahi kusikia ChatGPT Plus au Pro. Kama zipo naomba maelekezo nita upgrade.
Uwezo wako ni mdogo kuformulate questions, live with itNi project nafanya na Chat, tumefikia hatua ya execution ananiambia itachukua siku moja. Ndio maana nimeshangaa. Siwezi ku disclose maana ni biashara. Ukiaoma response zake utapata clue tunazungumzia nini.
Anyway, my point was, kumbe chatGPT na gen AI zingine huwa zinafikia hatua zinahitaji muda zaidi ya saa moja. It was a new experience.
Kama kwenye usaili wa maandishi, vitendo au mahojiano watamruhusu atumie hiyo chatGPT kujibu maswali.Sasa unataka aumize kichwa. Ndio yale yale eti calculator zitalemaza akili bila kujua kuwa table zote za analog ni teknolojia ya kurahisha mahesabu ambapo calculator ni zaidi ya table baadae computer software na sasa AI. Mambo ya kukariri vitu ndio uwe msomi yanapitwa na wakati.
Unajua Elon musk anachokifanya huenda hata elimu ikawa haina maana. 'To merge chip and brain
' ina maana elimu yote itajazwa kwenye chip na kazi ya ubongo itakuwa kuuliza na kupewa majibu instantly . Ubongo utakuwa sehemu ya mtandao. Kwa hio hio google au AI itakuwa kwenye vichwa vya binadamu(tutakuwa cyborg).
Sasa unadhani elimu itatolewa kama ulivyosoma wewe ?
Usipokubali mabaditiko basi mabadiriko yatakubadilisha kwa lazima.
Usikariri mambo yaliisha badirika kabisa.
Ukiingia kwenye platform kama up work kuna watu wanataka walimu ambao wanaweza kutumia AI kuandaa notes, mitihani. Vitabu nk sasa wewe unaona ajabu barua tu.
Waajiri wanatakiwa wabadirike haraka na vigezo vibaditike na kimojawapo muajiriwa aweze kutumia AI kwa mapana.
Mimi nampongeza huyo kijana japo mim ni wa kizamani nshspitwa na wakati.
Wewe kujibu maswali kuna maana sana kuliko kutenda ?Kama kwenye usaili wa maandishi, vitendo au mahojiano watamruhusu atumie hiyo chatGPT kujibu maswali.
Basi mimi sina tatizo.