Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

Washabiki wa ccm kwa uhalisia wengi ni masikini wenye wivu na wenye nacho ambao ni watafutaji na wanajitambua na ni wasiokubaliana na upuuzi was ccm.
Kwa hiyo huyu na masikini kwa uvivu na majungu tuu
Chadomo ndio masikini wa vipato mpaka akili ndio maana wanalaumu laumu na kulialia Kama watoto mwenye kazi/ajira/kipato atatoa wapi muda wà kulialia
 
Kuna mtu ndani ya CHADEMA alimuagiza Mbowe alewe chakali kiasi cha kuhisi yuko kwenye chopa akaamua kuruka na parachute akaporomoka kwenye ngazi na kuumiza mguu? Mjinga akiamua kufanya ujinga wake hahitaji kuagizwa na mtu.
 
Jiwe anaziogopa bendera atamweza sasa tundu lissu kweli?
 
Mbona hamna inayochomwa moto? Labda mseme zinashushwa. Pichani hamna inayochomwa moto. Mmeanza kusema uongo ili iweje?
Zinashushwa ili zifuliwe?.
Hapo na wewe inabidi utumie akili ya ziada.
Katika mazingira yale ni shari sio heri.
 
Hilo banda ndio ofisi ya chama kinachotaka kuchukua nchi? Kule uani ofisi huku kwingine naona ni bar chomeni kabisa hizo bendera za saccos
Kwani TANU ilichukua nchi ikiwa na ofisi za namna gani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…