The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Ulidhani katekista ni sista? 🙂katekista kumbe ni wa kiume, mi mshamba
Tulia dada mbona hivyo?Niliwahi kuandika humu JF kuhusu "uchafu" wa Kanisa Katoliki. Narudia tena kusema pasipo woga kuwa Kanisa Katoliki siyo kanisa la MUNGU, bali ni kanisa la Shetani.
Kanisa Katoliki ndilo linaongoza duniani kote kwa kuwalawiti watoto wadogo. Inakadiriwa yapata watoto milioni 2 duniani kote walilawitiwa na makasisi (mapadre) wa Kanisa Katoliki tangu mwisho wa vita kuu ya 2 ya dunia hadi sasa! Na haya ni makadirio ya chini. Hebu jiulize, tokea kanisa hili lianzishwe miaka 1900 iliyopita ni watoto wangapi wamelawitiwa na hili kanisa mpaka leo?
Achilia mbali vitendo vya kulawiti, historia inaonesha wazi kabisa kuwa kanisa katoliki ndilo kanisa linaloongoza kwa mauaji ya watu wengi zaidi tangu kuanzishwa kwake.
Kanisa la KWELI la MUNGU haliwezi kufanya mambo maovu na machafu kama hayo ya ulawiti, uuwaji, na mafundisho ya uongo. Hili ni kanisa la shetani. Kwenye Biblia kanisa katoliki limepewa jina la kinabii ambalo ni; "BABELI MKUU, NA MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI".
Soma Ufunuo 17 yote na 18 yote unaelezea habari za kanisa katoliki ingawa ni katika mfumbo mazito.
HuU SI ndio yule Katekista mashuhuri na alikuwa kimbelembele enzi zile za uncle mwendazake? Kakumbwa na Nini?Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8.
=====
Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Katema.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamis Septemba 15, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa ni katekista na alikua akimfundisha mtoto huyo masomo ya dini.
Mwaibambe amesema mtuhumiwa huyo alimvizia mtoto akiwa kwenye mafundisho ya dini kanisani na kumuita ofisini kwake kisha kumbaka.
Mwananchi
Kitu kama hujui muulize hata mumeo au mchepuko wako.Hawa watu wangeruhusiwa waoe tu
Maana huko parokiani wanapeleka moto kwa kujificha
Daaah, hakuna pa kukimbilia!Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8.
=====
Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Katema.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamis Septemba 15, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa ni katekista na alikua akimfundisha mtoto huyo masomo ya dini.
Mwaibambe amesema mtuhumiwa huyo alimvizia mtoto akiwa kwenye mafundisho ya dini kanisani na kumuita ofisini kwake kisha kumbaka.
Mwananchi
Nadhani mama angu umeshindwa kunielewa nime reply komenti ya huyo anayetoa statistics za watoto wanaolawitiwa na maa skofu , cardinalKitu kama hujui muulize hata mumeo au mchepuko wako.
Katekista ni mwalimu wa dini ya kikatoliki anaruhusiwa kuoa na kuwa na watoto.