Chato: Kijiji kilichokaribia kuwa makao makuu ya mkoa-2

Wanaomsifia Magufuli ni watoto wa juzi, watu waliokuwa hawana access ya taarifa na watu wazima ambao walikua na maslahi na ujinga wake.

Kwa sisi wengine tunamfahamu tangu akiwa mbunge na waziri na madudu take aliyoyafanya. Tunakaa kimya tu
Hahaha. Alijiuzia maghorofa mawili ya NIC kwa ml 6 kila moja pale dodoma na hapo alikuwa wazir wa nyumba tu
 
Ila Magufuli alikuwa mbishi sana. Alifanya vitu vya ajabu sana as if alikuwa na afya hata ya kufikia umri wa miaka 100. On the contrary Magufuli alikuwa ni "walking carcass" tu kwa namna magonjwa yalivyomzingira mwilini. Maana alikuwa HIV positive, Kichaa, Herpes Zoster, Diabetes. Worse enough ile defibrillator yake (pacemaker) aliyowekewa miaka 30 iliyopita ilikuwa imechakaa.

Lakini akapanga kuiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba kura za uchaguzi mkuu wa 2020 na kujiifanya kashinda kwa 80+%. Akachagua na wabunge wake ambao wangekuja kumfanya awe Rais wa milele kwenye mwisho wa term ya 2025. Alifanya yote hayo akijijua ni Spanner mkononi.

Ila Mungu ni Fundi sana, maana kama angemjalia na afya angetumaliza. Kwa kweli moto wa milele uendelee kumuunguza huko aliko
 
Songwe kuna kivutio gan cha utalii? Si bora hapo Chato kwa week kuna ruti 2 za air Tanzania kuliko Songwe umejengwa uwanja na hakuna ndege zinaenda
Usingeandika hayo uliyoyaandika watu wasingejuwa kuwa wewe ni MPUMBAVU. Uwanja wa Songwe uko Mkoa wa Mbeya na unahudumia mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa. Bila kusahau abiria wa Zambia, Malawi na DRC.

Mbeya ni moja ya mikoa 5 nchini yenye GDP kubwa kukiko mingine. Sasa hizo pumba ulizoandika hapo nenda kalishe wanao kama unao.
 
Duniani kuna mengi. Aanalinganisha chato Airport na songwe Airport? Kisa katajwa John. John alifanya mambo kwa propaganda nyingi hata wajinga wengi kuamini kumbe yalikuwa maigizo. John
 
Wapi kinapatikana kitabu hiki?

Kumbukeni na mm nakaribia kutoa kitabu changu kiitwacho "MAGUFULI, The Master of Chaos".
Kitabu kinapatikana Dar es Salaam book shop karibu na mnara wa saa posta
 
kumbe nchi ilishafilisika? Tumshukuru Mungu kutupatia mama maana mwendazake asiweza kukamilisha miradi aliyoianzisha kwa pupa. Yule ana akili ya panzi. Alifakamia pesa alizoacha JK na kuchuka mikopo yeney riba ya kibiashara, akaharibu uhusiano na nchi jirani pamoja na nchi za nje. Kweli Mungu fundi bado anatupenda sijui mpaka leo tungekuwa ktk hali gani.

Mama ameshakaribia kukamilisha miradi yote pamoja na ile mipya aliyoanzisha, amepandisha wafanyakazi madaraja yote, ameongeza mishahara, ametoa ajira sekta zote. Wakulima wanafaidika na mazao yao tunataka nini, tumshukuru Mungu.
 
Pumbavu zenu nendeni mkautoe uwanja wa ndege ,mbuga na hospital ya kanda
uwanja utatoka wenyewe, km hakuna ndege inaenda kule mtaanikia dagaa na je kutakuwa na uwanja wa ndege tena? Utajiondoa wenyewe ni suala la muda tu.
 
nashangaa wanaomtetea ujasiri wa kufanya vile kwa nguvu zile wanautoa wapi? Ni ama hawajui au uwezo mdogo au ni wanufaika wa mfumo
Wamegawanyika katika makundi matatu
1. Kuna ambao hawajui (hawakua na access na mitandao, ndio wamepata bundle na smartphones recently)

2. Kuna ambao Wana uwezo mdogo plus Ukabili na ulimbukeni, hawajui chochote ila hawajui kama hawajui. Hawa ni wengi na huna cha kuwaanbia, wamebatizwa jina la Wanyonge, unyonge wao ni upi wakati Wana miguu na mikono na akili, na wenyewe pia hawajui! .

3. La tatu ni lile kama la akina Musiba, Sabaya, Gambo, na wengine akina Charamila ambao hawakuwahi kumiliki kitu halafu ghafla wakapewa madaraka, wakayatumia kama source ya income.

Watu kama Hawa ndio kama yule Mbunge aliyesema kuwa kwa jinsi UBUNGE ulivyo mtamu yuko tayari hata kuua ilimradi TU abaki na ubunge wake.
Hope nimeeleweka
 
Sasa wewe kuwepo kwa uwanja wa ndege Chato ambao unahudumia mpaka mkoa wa Geita huwa unateseka nini? ilihali ni wilaya iliyopo ndani ya mkoa wa Geita na sio kama Songwe Mkoa alafu Mbeya nae anaitegeea Airport ya Songwe?
 
Nimezungumzia Mkoa Songwe! labda uniambie GDP ya Songwe sio Mbeya
 
Numekuelewa sana . Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…