Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

Wamevuta weed hao vijana wa chato. Serikali inavyopinga utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii ya kitanzania ilikuwa inatokomeza vitendo kma ivi vya ajabu.

Ilitakiwa wananchi wampumzishe marehemu katika nyumba yake ya milele kwanza then wafate utaratibu kwa kufata sheria. Wangefanya ivyo wangepungukiwa nini?
 
Wamevuta weed hao vijana wa chato. Serikali inavyopinga utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii ya kitanzania ilikuwa inatokomeza vitendo kma ivi vya ajabu....
Kwamba wafute ushahidi kwanza ndipo waanzishe madai? Kabla hawajazika wanatakiwa kujua chanzo cha kifo. Kama mtu alibebwa na polisi akiwa mzima, anarudishwaje maiti?
 
MPaka uyo marehemu anafikishwa makabulini inamaana taarifa ya daktari ishaandikwa na ushaidi namba moja kuhusu kifo chochote ni taarifa ya daktari. Hta kma marehemu amezikwa watu wanaangalia taarifa ya daktari inasemaje
 
Nipo bwanga, nimeona defenda kama 7 zinatembea kwa spidi ya mwanga kuja uelekeo alikolala shujaa wa afrika.

Soon mnachezea kichapo toka kasamwa.
Wezi ni wabaya sana, ila wizi au kuuziwa kitu Cha wizi hakuitajika kuuwawa huyu kijana!! Polisi muwe na huruma, huenda hata betry lenyewe bovu na alitamani akaliweke nyumbani kuwashia redio!! My Goodness
 
MPaka uyo marehemu anafikishwa makabulini inamaana taarifa ya daktari ishaandikwa na ushaidi namba moja kuhusu kifo chochote ni taarifa ya daktari. Hta kma marehemu amezikwa watu wanaangalia taarifa ya daktari inasemaje
Utakua askari wewe SI Bure. Aibu zenu
 
Utakua askari wewe SI Bure. Aibu zenu
MKUU TUNAENDA KWA MIFANO AU REFFERENCE SOMA HADI MWISHO:

Kama taarifa ya daktari ikisema marehemu kafa kwa kupingwa basi kuna kesi ya kujibu.
Alafu watu wanatakiwa kujua sheria maana kutokujua sheria nalo ni kosa.

Pia kma ni kweli marehemu kauwawa na polisi wanao lalamika wamethibitisha kwa maandishi ya doctor AU hawana uthibitisho kama wanao uo uthibitisho basi wafate tu sheria lakini kuchom kituo MOTO wamekalia moto yaani hapo watakusanywa wahusika wote walio husika kufanya ufedhuli huo wa kuchoma kituo moto najua hutoamini.

Yaani hta kama unahaki na uhuru wa kuongea basi hauna haki yakujichukulia maamuzi au nguvu mkononi hasa ya kuchoma kituo cha POLISI TANZANIA.
FATILIENI MKASA WA KULE DSM KITUO CHA UNUNIO KAMA SIJAKOSEA ISHU NI HII HII YA POLISI KUTUHUMIWA KUUWA BODABODA WANANCHI WAKAJIKUSANYA WAKACHOMA KITUO MOTO.MSAKO ULIVYO PITA WALITUPWA NDANI MIAKA KADHAA NDO WAKAJA KUSOMEWA KESI NA WAKAKUTWA NA HATIA.
KILA KITU KINAENDESHWA KWA HOJA YAANI MAHOJIANO ILI KUPATA UKWELI WA JAMBO LAKINI SIO KUKURUPUKA TU KAMA KUKU ANAE TAGA
DO U COPY THAT
 
Hivi polisi ni nini huwa kinawafanya kuwapiga watu waliowakamata? Utaratibu si ni kumfungulia mashitaka mtuhumiwa?
 
Wamevuta weed hao vijana wa chato. Serikali inavyopinga utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii ya kitanzania ilikuwa inatokomeza vitendo kma ivi vya ajabu.
Ilitakiwa wananchi wampumzishe marehemu katika nyumba yake ya milele kwanza then wafate utaratibu kwa kufata sheria. Wangefanya ivyo wangepungukiwa nini?
Kwanini wapindishe maneno? Kafa kwa kifua kikuu na sio kupigwaaa??? Wee acha zakooo
 
Back
Top Bottom