linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Ila watanzania!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shame on themHilo ndio jeshi la kulinda raia na mali zake.
"OVA"
Kwamba wafute ushahidi kwanza ndipo waanzishe madai? Kabla hawajazika wanatakiwa kujua chanzo cha kifo. Kama mtu alibebwa na polisi akiwa mzima, anarudishwaje maiti?Wamevuta weed hao vijana wa chato. Serikali inavyopinga utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii ya kitanzania ilikuwa inatokomeza vitendo kma ivi vya ajabu....
Laana unayo wewe,ndio maana unajiropokea tu,Chato ardhi iliyo laaniwa
Kwani wewe kuna kipi ambacho hujaelewa hapo?Sasa si utulie utoe taarifa inayoeleweka, unaharakia wapi?
Kunywa chai utulie aisee.Wamevuta weed hao vijana wa chato. Serikali inavyopinga utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii ya kitanzania ilikuwa inatokomeza vitendo kma ivi vya ajabu...
Upumbavu nao ni kipaji,Watu wa Chato ikataeni CCM inamdharau Magufuli? Unganisheni hapo hapo maandamano ya kudai katiba mpya huo ndio mwanzo wa mabadiliko.
Wezi ni wabaya sana, ila wizi au kuuziwa kitu Cha wizi hakuitajika kuuwawa huyu kijana!! Polisi muwe na huruma, huenda hata betry lenyewe bovu na alitamani akaliweke nyumbani kuwashia redio!! My GoodnessNipo bwanga, nimeona defenda kama 7 zinatembea kwa spidi ya mwanga kuja uelekeo alikolala shujaa wa afrika.
Soon mnachezea kichapo toka kasamwa.
Utakua askari wewe SI Bure. Aibu zenuMPaka uyo marehemu anafikishwa makabulini inamaana taarifa ya daktari ishaandikwa na ushaidi namba moja kuhusu kifo chochote ni taarifa ya daktari. Hta kma marehemu amezikwa watu wanaangalia taarifa ya daktari inasemaje
MKUU TUNAENDA KWA MIFANO AU REFFERENCE SOMA HADI MWISHO:Utakua askari wewe SI Bure. Aibu zenu
Tafuta hela utunze familia yakoningekuwepo ningehakikisha naondoka na roho ya Polisi wajinga sana hawa watu sijui walilaaniwa na nani mbwa hawa
rudia kupitia uziSababu
Kwanini wapindishe maneno? Kafa kwa kifua kikuu na sio kupigwaaa??? Wee acha zakoooWamevuta weed hao vijana wa chato. Serikali inavyopinga utumiaji wa madawa ya kulevya katika jamii ya kitanzania ilikuwa inatokomeza vitendo kma ivi vya ajabu.
Ilitakiwa wananchi wampumzishe marehemu katika nyumba yake ya milele kwanza then wafate utaratibu kwa kufata sheria. Wangefanya ivyo wangepungukiwa nini?
kwani kuna siku nimekuja kukuomba hata kilo ya unga nipelekee familia yangu kwamba imenishinda ?😏Tafuta hela utunze familia yako
Na atoke magetoniTafuta hela utunze familia yako