Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Anaongoza chama amedhaminiwa na chama ongelea chama chake mbona yeye hamuatack Lissu? au unadhani hana ya kumu attack nayo? acha umbumbu jazz band
Unaruhusiwa hata wewe kumuatack... sema mabaya yake kama tunavyosema ya Pombe.

Ni fisadi?
Ni Muuaji?
Ni mhujumu uchumi?
Aliuza nyumba za serikali?
Alihusika kusaini mikataba mibovu?
 
mlipanga kundi la wahuni si uliona umati walivyomlinda ,kundi dogo na wahuni wa CCM kazi yao kuvizia kama vibaya kurusha mawe kwa mbali ,mbona walikimbia
Nikafikiri mliwadhibiti! Kumbe walikimbia!?

Na bado
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzito, pole sana
 
Paragraph yako ya mwisho ni ya kipuuzi sana...kwa hyo Lissu asiende kwa sbb ya kumnanga kujijengea uwanja wake?Siamini kwamba wananchi wachato wananeemeka na huo uwanja hvyo wachukie,haya ni mawazo sikia ya mtu asiyemkazi wa chattle.Kwa taarifa jiwe hajawahi kupendwa chattle kwani hata ubunge hajawahi kupigiwa kura na wanachattle zaidi viti maalum kwa jina la "kupita bila kupingwa"ndio maana unaona hana ushawishi kabisa
 
Kumbe maafisa vipenyo wanamuunga mkono magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa hakuna umati, kulikuwa na kakundi ka kawatu kadogo alikotokanako Geita.

Ndiyo maana hata clip zote mnazozisambaza wote wanaolalamika kupopolewa na mawe wanajitambulisha wametoka Katoro, yaani unatoka Katoro hadi Chato kwenda kufanya fujo harafu utoke salama.
 
Ccm wajinga Sana yaani mtu uliyemshindwa kwa risasi ndo utamuweza kwa mawe, hii sabaya style haiwezi waokoa.
Hatuwaambia wawasomeshe watu namba wao watulie zamu yao kuisoma.
Dah trh 28 mbona haifiki
 

Inaitwa Serikali ya CCM au ya Magufuli? Inaiywa Tanzania ya Magufuli au ya CCM?
Inaitwa maendeleo yaliyoletwa na CCM au ya magufuli.

Yani akitumia kodi zetu kujenga Reli inaitwa Reli ya Magufuli lakini anapokosea kwa kutumia maamuzi yake lisiitwe kosa la Magufuli.
Huu ni umungu mtu.
Mungu pekee ndiye ambaye hakosolewi mana ameumba kwa maamuzi yake na kwa uwezo wake lakini Rais anayelipwa kwa kodi za wananchi na kuendesha serikali kwa kodi ya wananchi kumkosoa ni haki kabisa na sio kosa linalostahili kupiga watu risasi.
 

Hivi ccm huwa inakwenda kwenye kampeni na watu kiasi gani kutoka dar? Hembu tueleze kuna shida gani kusindikizwa na watu wa katoro jirani kabisa na chato?
 
Ukute wewe ni kijana wazazi walisomesha shule wakajinyima visenti vyao kumbe wanasomesha kenge
 
Magufuli naamini amejifunza sana ktk kampeni hizi kuwa wapambe wake wanamuongopea sana sana kuhusu kupendwa pamoja na nguvu ya upinzani hadi kwake Chato!
 
Magufuli naamini amejifunza sana ktk kampeni hizi kuwa wapambe wake wanamuongopea sana sana kuhusu kupendwa pamoja na nguvu ya upinzani hadi kwake Chato!
 
Umeongopa mkuu mkutano ulikuwa na nyomi na vijana kwa elfu 50 wanarusha mawe
Mmeiteka Tanzania nzima,mtashinda usiwe na wasiwasi mkuu,mimi nilikuwa nasema kile nilichokiona,wewe umepata taarifa hapa Jf.Mwisho wa siku kila mtu aamini anachokiamini.
 
Ukiambiwa siasa ni somo pana, akili yako inakutuma kwenye maswala ya vyuo tu eeh😃?
Wewe unaongea uhalisia wa siasa usiowahi kuujua Wala kuuishi,siasa ni zaidi ya ushabiki wako huku mitandaoni.Yanayoendelea kwenye taifa hili wewe huyajui zaidi ya jinsi unavyoyapokea kwenye vyombo vya habari, kwahiyo usijitape Sana kuijua siasa ya Tanzania hakuna unachokijua, Amini hivyo.

Mimi si mzee kama unavyodhani.
 
Acha usengge wewe, wapi umeniona nasambasa clip, pumbavu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao uvccm, weka picha ya mtiti wa mkutano wa hadhara.
UVCCM walidhani wangewazuia maelfu kuhudhuria mkutano.
CCM imeahindwa na haikubaliki Tena kila mahali
Nimeangalia clip zote zilizoambatanishwa kwenye post ya kwanza ya uzi huu. Sikuona mahali panapoonyeshwa ushahidi wa UVCCM kufanya vurugu. Nimeona baadhi ya wananchi waliovaa jezi za Chadema wakimshambulia mtu mbele ya askari!!! Sasa katika mazingira haya ambayo Chadema wanadai wanaakili kubwa, wameshindwa kweli kutumia akili yao kubwa kudhibitisha madai yao haya!? Tuukiwaambia ni waongo na wazushi....wanakuja juu!!! Kwa hiyo, kwa ushahidi uliowekwa, nadhani ni ghiliba zile zile za kuamsha taharuki nchi ili malengo yao yatimie ya kupata sababu ya kuomba " Asylum" huko nje ya nchi. Hilo Watanzania tunaopenda nchi yetu hatuliungi mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…