Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Lisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
Kwa hyo kila mgombea akisema aandae watu wa kurusha mawe unadhani magu angefanya kampeni ikungi? Jpm ni mbaguzi.sasa kura akachukue hukohuko chato.Hatuwezi mpa kura mtu mbaguzi kiasi hicho, kwani Leo alikoomba kura dar ndo kwake?
 
Alitaka abembelezwe wakti anawzodoa kila siku?
Sasa wampende kwa lipi?
Wameshindwa hoja wamekimbilia nguvu ni dhaifu Sana Hawa
Kila siku chato chato,
Yeye anafikili chato wanaishi wanayama hawahitaji mabadiliko,
Ajifunze kutumi domo lake vizuri.
 
Kuna sheria yoyote ile inayomkataza Mtanzania kufika sehemu yoyote ile Nchini kwa jambo lolote lile? Tangu lini? Na sheria hiyo ilitungwa lini?
Lisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
 
huo ni ujinga kwahiyo Magufuli asifanye kampeni jimboni kwa lissu au arusha apigwe mawe ,we nguruwe wa lumumba huna akili
Huko jimboni kwa Lissu watu wanampenda Magufuli ndio maana hawakumrushia mawe. Ukisema kwamba hawakumrushia kwasababu ya mamlaka yake, Basi angalau hata wangemzomea tu.

Kiukweli, ni ngumu Sana Lissu kukubalika Chato, Kama uliwahi kufika utakubaliana na mimi.Huyo mnaemuita jiwe ni kama mtemi wao, huwaambii kitu kabisa juu ya Magufuli, kwahiyo sishangai hivyo vitendo vilivyotokea huko(na wala haiwezi kuwa kikundi kilicho andaliwa)

Pamoja na hayo hiyo haimzuii mgombea wa chama pinzani kufanya kampeni zake Kama kweli democracy inazingatiw.Hivyo sheria unapaswa ichukue mkondo wake kwa wote waliofanya huo uvunjifu wa amani.
 
Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
Sijui leo aliropoka tena kuhusu uwanja wa chato au mbuga ya burigi 😁
Hatimae kukutana na wenye chato yao
 
Halafu viongozi wa dini wanamrambamramba miguu jpm.siwapendi wale viongozi wa dini hatarii
 
Lisu na chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
Hivi wakati unaandika huu ugoro ulikuwa unakunywa nyagi au? Hivi sisi wa kaskazini tuufanye huu upuuzi unaoushabikia unafikiri tutafika wapi?

Uongozi ni dhamana kuna siku utakuwa nacho na kuna siku atashika mwingine na atakuadhibu vyovyote apendavyo.....

Jitahidi upevuke akili, mawazo na mtazamo pia

Maendeleo hayana chama
 
Mkuu hakuna chama kisicho na wafuasi popote nchi hii, kilichofanyika chato ni aibu kwa rais, Igp ana la kujibu.Jpm kaelekeza vijana wafanya yale
 
Sijui ccm wanaipeleka wapi nchi hii! Hivi vitendo vya kijima vinatokeaje Tanzania?
 
Mkuu hakuna chama kisicho na wafuasi popote nchi hii, kilichofanyika chato ni aibu kwa rais, Igp ana la kujibu.Jpm kaelekeza vijana wafanya yale
Ndomaana nikasema hatua sitahiki zichukuliwe kwa wote waliohusika.Sipo hapa kusupport kilichotokea.
 
Si mlikuwa mnasema Chato itazizima? Ikekuwaje Tena the so called " NI YEYE" kashambuliwa na wapiga kura wake?
Kilichofanyika kikundi kidogo sana cha vijana ndo kilirusha mawe, mbaya zaidi polis wakala wanawaangalia tu badala ya kuipambania nao..
 
Ku attack msafara wa mgombea yeyote sio jambo la kiungawana.

Lakini lazima uulize akili za strategist wa Chadema kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?

This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya ziada wakati mwingine.
 
unaonekana kichaa unapoandika bla bla nyingi halafu uharo mtupu
🤣🤣🤣 Huo ndo uhalisia wenyewe, mtu wenu hawezi kukubalika chato miaka mia.Mimi chato naijua kwa100%.

Sijisikii vizuri kabisa kuitwa chizi na jobless.
 
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022

Romney said in a statement posted to Twitter. "But I'm troubled by our politics, as it has moved away from spirited debate to a vile, vituperative, hate-filled morass that is unbecoming of any free nation — let alone the birthplace of modern democracy."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…