LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwa vurugu za chato anayepaswa kujisafisha ni rais, akikaa kimya atakuwa amechafuka vibaya.Kwa rais alipaswa kuwa mfano kufanikisha usalama wa kutosha unawepo Kwake kwa wagombea wenzie..Ndomaana nikasema hatua sitahiki zichukuliwe kwa wote waliohusika.Sipo hapa kusupport kilichotokea.
Tunachukua nchi kwa amani.Machadema mlikuwa wapi kujibu mapigo? Mko wengi mwambieni aingize watu barabarani.
Haya ni matukio ya kutengeneza movie , wameanza toka jana , ili kuonyesha strong hold ya Magu haipendi demokrasia
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
Ndio imeshafungwa endelea kumwaga omoLisu ameamuru barabara ifungwe?!!
Kama nani?
Siyo hulka ya Watanzania kuwafanyia fujo wanasiasa wanaoomba kura. Ukiona fujo imefanyika ujue kuna watu na wanasiasa wa hovyo waliochochea, kuratibu na hata kuwezesha fujo. Wanasiasa wa aina hiyo hawatufai hata kidogo.Huko jimboni kwa Lissu watu wanampenda Magufuli ndio maana hawakumrushia mawe. Ukisema kwamba hawakumrushia kwasababu ya mamlaka yake, Basi angalau hata wangemzomea tu....
Wapinzani acheni kulia lia, juzi Kati hapa Magufuli alivamiwa na vijana wa Chadema kwenye kampeni huko Bukoba, Cha kushangaza viongozi wa Chadema ndo walikuwa wa Kwanza kushabikia hicho kitendo. Kama kweli mna nia njema mnatakiwa muwe wa Kwanza kukemea pale wanachama wenu wanapowafanyia viongozi au wanachama wa vyama vingine.Sio kulaani tu, wagombea wangeenguliwa kabisa kutoka katika nafasi za kugombea, ila kwa sababu ni upinzani basi tume itabariki kila aina ya udhalimu unaofanywa dhidi ya wapinzani na hakuna hatua itakayochukuliwa dhidi ya hao wahalifu
Huko jimboni kwa Lissu watu wanampenda Magufuli ndio maana hawakumrushia mawe. Ukisema kwamba hawakumrushia kwasababu ya mamlaka yake, Basi angalau hata wangemzomea tu...
Unakosa heshma unaposema "viongozi wa dini , hapanaa , wale ni "masadukayo na mafarisayo, wanafiki waliopo kushibisha matumbo yao na kudhulumu wajane kuwaambia wauze kila kitu ili wamtumikie mungu ilhali wao wanakula kondoo za Bwana".Halafu viongozi wa dini wanamrambamramba miguu jpm.siwapendi wale viongozi wa dini hatarii
Mshkaji wamempopoa na mawe, katoka katoro kwenda kwenye mkutano chato. Shida hapo atajitibia mwenyewe wala sidhani kama lissu atakuwa tena na habari nae
Ukisikia ujinga wa kiwango cha uchumi wa kati ndo huu.Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa