Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Umeisha sema Kule ufaransa, siyo lazima tufanane, huku bongo wengempa hata mvua 30 ashike adabu. Mtu wahivyo anaweza hatamtukana mama yake.
sio kweli mbona we unamatusi sana vp huwa unamtukanaga na mama ako.hasa ukilewa we jamaa unakuwa wa hovyo sana juz nimekukuta unatoka kulewa upo chakar mkonon upo na chupa ya chibuku nakuuliza vp pale juu wamefunga, ukajibu ooh we mseengeee,. Kwakwel iliniuma sana leo nakujibu mseeengeee mwenyewe acha matusi au na mm nikufunge miak50
 
hiyo adhabu ni ndogo, hivi alimlea huyo kijana anajisikaje kuwa na kiazi km hicho. Dogo ana chuki iliyopitiliza.
 
hiyo katiba mtungie mamako we nguruwe. Katiba mpya huna hata haya? Kwa hiyo katiba itakuwa ya kumtukana Rais? Hiyo itakuwa ya kumtukana mamako itungeni hapo kwenu.
 
Huyu ameyataka mwenyewe.

Kumwita Rais ni 'ovyo', eti Rais ni 'msimbe', eti Rais ana 'mapunye kichwani', eti "hata mwaka haujaisha Rais ameiba ndege", eti Rais "alikuwa hajawahi kupanda ndege"hivi kulikuwa na ulazima wa kuyasema hayo ya upuuzi, kejeli, matusi, na uwong ili kuufikisha ujumbe wake?

Huyu kijana amejosa akili, amekosa staha, amekosa heshima, amekosa ustaarabu. Hivi kwa umri wa Mama Samia, hata asingekuwa Rais, unaweza kumtolea maneno kama hayo?

Kwanza huyu kawatusi akina mama wote wanaovaa ushungi. Kwake yeye kila anayevaa ushungi ana mapunye kichwani. Hivi kuna ndege iliyoibuwa na Rais? Hivi kweli Rais Samia kabla ya kuwa makamu wa Rais, alikuwa hajawahi kupanda ndege? Kumwita Rais ni ovyo, lazima uwe na uthibitisho, ni ovyo katika nini. Huko ambako wafanyakazi wanashi dwa hata kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma, hatujasikia watu wakisema Rais ni ovyo.
 
Na wanaomdhihaki kwamba anaupiga mwingi wenyewe wanashitakiwa lini ?

Mimi kama mlipa Kodi haya ni matumizi mabaya ya Kodi; haya mambo ni ya kuyaapuza kama tunavyopuuza mengine; huo muda ungetumika kuwashika walamba asali (impact yao ni mbaya zaidi kwa jamii; i.e. Ustawi wa Kodi zetu)
 
Kutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.

Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Kwahiyo Makamanda ndo wakusapoti matusi ya kiuwendawazim?
 

Aisee usijaribu kuhalalisha ukosefu wa adabu. Wala hiyo sio sheria kandamizi.
Mtu mzima mwenye akili zako huwez ukamtukana kiongozi wa nchi just tu hupendi style yake ya utawala.

Simtetei rais ila kuna mipaka
 
Hukumu ipo sawa tu mbona ata Musiba alihukumiwa kumlipa Membe fidia ya Shilingi Bilioni 9 wakati katika ukoo wao wote hawajawahi kumiliki pesa kama iyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…