Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Aliyemfunga ni wale mahakimu wanaofanya kazi kwa kujipendekeza, sheria za kipumbavu kama hizi zifutwe, Raisi ni binadamu tuu, acha watu watoe frustration zao, ningekuwa Raisi ningemwachia, akate rufaa
 
Huyu kama mimi ndo Hakimu angekuka 15 plus na faini bilioni tisa
Mimi angekula 12..viboko sita wakati anaingia na sita wakati anatoka akamuoneshe mke wake..Mjinga kabisa huyu..Unasema huogopi kukamatwa wewe ni Nani..haya Sasa wakusaidie hao waliokutuma..
Rais ni mtu mkubwa sana kwenye nchi yetu..wa enzi zile walikufuru wakata kumfananisha na Mungu..wewe ni Nani umdhihaki rais wetu..Hakimu Mushi fanya marejeo ya hukumu..huyu Mjinga aongezewe adhabu ili iwe fundisho kwa vibaraka wengine.
 
Kusema ukweli imekuwa matusi, uitishwe mchango wa hiari tumchangie atoke jela. Huyu dikteta mwingine ameanza kuonyesha makucha yake
 
Anachuki iliyopitiliza..na adhabu aliyopata kwa mtazamo wangu ni ndogo sana..
 
Kazi kwel kwel!...ila jamaa kajitoa mhanga maana kwa nchi yetu ukimgusa rais lazma wale kichwa,japo kwel ametumia lugha/maneno ya kuudhi kimtindo lakin asipuuzwe jumla!
 
Wasukuma bana,alijiona mjanja haya sasa ndugu zake si wangeuza ng'ombe walipe faini.
 
Sukuma gang wamchangie na baada ya hapo apewe uhifadhi burundi.......

Rais hatukanwi Wala kudhalilishwa Sijapendezwa na baadhi ya mashairi anaimba kumtukana mara maushungi mara ana mapunye.....mara mashavu makubwa.....

Na watakao mdhamini nao wapewe kesi za uhujumu uchumi.....anasema mama Samia kaiba ndege....hajawai kupanda ndege.....mara mama Samia ni mshamba.....

Sukuma gang hili halikubaliki hii project ime buma.....
 
Mahakama wanafanya upuuzi ,waende USA waone watu wanavyomtukana rais hadharani ,sijaona kosa la huyo msanii ,rais mwenye ushungi ndiyo nani? Alimtaja?
Sukuma gang wamchangie na baada ya hapo apewe uhifadhi burundi.......

Rais hatukanwi Wala kudhalilishwa Sijapendezwa na baadhi ya mashairi anaimba kumtukana mara maushungi mara ana mapunye.....mara mashavu makubwa.....

Na watakao mdhamini nao wapewe kesi za uhujumu uchumi.....anasema mama Samia kaiba ndege....hajawai kupanda ndege.....mara mama Samia ni mshamba.....

Sukuma gang hili halikubaliki hii project ime buma.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…