Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Mimi sijaona tusi hata moja hapo aisee.

Hakimu itakua katoa hukumu akiwa kalewa.
 
huyu ni mwamba ameimba ukweli, ningekuwa na 10mil ningempelekea atoke nje atupe burdani
 
Unafanya makosa sana kulinganisha jamii ya america na tz. Sisi tuna calue zetu wao wana zakwao. Lazima tuwe na different views.
Kuna limitation kwenye uhuru , si tu unajisikia tu kutukana bila madhara

Sasa mbona Bungeni wabunge huwa wanasema hata USA nao wanapata changamoto kama zetu ,why kwenye uhuru wa maoni hatutaki kujifananisha na wao?
 
Ukitaka uenjoy hii isome kwa lafudhi ya kisukuma 😂🙌
 
Angefungwa miaka 30.....

Hivi kumkosoa mtu ndio umtukane?!!! [emoji849][emoji849]

Yaani unawezaje kumtukana mtu mzima....tena mama.... tena ni rais wa Jamhuri ya Muungano?!!! [emoji45][emoji45]Gosh it's havoc.....

Yaani amelitukana taifa lake....
Huyo Dawa ametutukana sote....terrible!

#SiempreSSH[emoji120]
 
Huwezi kumkebehi kumzodoa Amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi hivyo alivyofanya huyo Dawa.....haiwezekani na haivumiliki.....ujumbe umemfikia na uwafikie vichwa vibovu wote......

#SiempreSSH[emoji120]
#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom