Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanya makosa sana kulinganisha jamii ya america na tz. Sisi tuna calue zetu wao wana zakwao. Lazima tuwe na different views.
Kuna limitation kwenye uhuru , si tu unajisikia tu kutukana bila madhara
Toa na wewe nyimbo umtukaneRais aliyepatikana kwa wizi wa kura hastahili heshima kihivyo
Kwani rais huseni ni wa zenji?Mushi ni wa Chato?
Is it a criminal offense? Under what penal code?Ndiyo, ni kosa. Play stupid games; win stupid prizes.
Nyie watu acheni kufananisha mbingu na ardhi,Mahakama wanafanya upuuzi ,waende USA waone watu wanavyomtukana rais hadharani ,sijaona kosa la huyo msanii ,rais mwenye ushungi ndiyo nani? Alimtaja?
Mkuu wewe ni mzazi hebu chukulia mwanao anakuambia maneno haya,utachukua uamzi upi,?Unamfunga Mwananchi kwasababu tu hajakusifia na kukuabudu ila unayaacha Majizi yalitajwa kwenye ripoti ya CAG na kuyaalika futari.
AahahaaaaSerikali ingekua haraka hivi kushughulikia mafisadi tungekua mbali.
Mahakama umeipunguzia kazUkishakiri tu kazi imekwisha
Hakika kamarada wangu.....Mkuu wewe ni mzazi hebu chukulia mwanao anakuambia maneno hata,utachukua uamzi upi,?
[emoji106]Toa na wewe nyimbo umtukane
Hovyo sana....Huyu jamaa mjinga sana, kumfanyia raisi udhalilishaji, wa namna hii?
Na wewe imba remix...huyu ni mwamba ameimba ukweli, ningekuwa na 10mil ningempelekea atoke nje atupe burdani