Ni wapi kwenye maandishi yake amegombana na wewe?Unagombana na mtu usiyemjua,unanijua Mimi? Mbona unanipangia cha kuandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hiyo mipaka ndio inapatikana mishahara?Ni kweli tukifunga mipaka uchumi utayumba vibaya sana. Maana majiran wanatutegemea.
Lakin ktk kipindi hiki mipaka ifungwe kwa muda... hatuwezi ki risk afya za watanzania in the name of money.
Hakutakuwa na faida yoyote tukiwa na taifa tajiri lakin lenye asilimia kubwa ambao ni wagonjwa. Hata huo uchumi utadidimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpelelezi J. Hata Usa ni law enforcement agencies ndio wanasimamia haya. Nimeona wanaweka hadi cones kama alama ili mtu asimame hapo ili awe mbali na mwingine kama anakata ticket au la. Na sisi tuige hao waliofanikiwa. Na kama ikiwezekana ifanyike mapema.Jamii za wenzetu ni wastaarabu wanafuata rules. Jamii zetu za kiafrika social distance wanaona kama adhabu.
Itakuwa ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubali matokeo mkuu, there is no total lockdown.Nadhani hata wewe mwenyewe huelewi ulichoandika.
Huyu ndio kiongozi.Nasikia kasema "Chapeni kazi" Na yeye tunamtaka arudi Dar ili afanye mambo muhimu ya kitaifa!
Mpelelezi J. Hata Usa ni law enforcement agencies ndio wanasimamia haya. Nimeona wanaweka hadi cones kama alama ili mtu asimame hapo ili awe mbali na mwingine kama anakata ticket au la. Na sisi tuige hao waliofanikiwa. Na kama ikiwezekana ifanyike mapema.
Mkuu unaitoaje ccm kwenye mauchafu ya nchi hii?Sina nia ya kugombana nawe, wala na mtu mwingine yeyote. Wewe unaona ni sahihi ulivyoiingiza CCM kwenye bandiko lako? Kama nimeshindwa kuupata ujumbe wako kwa namna sahihi uliyokusudia - bear with me.
Upo sawa lakini wataalamu wengi wanasema mask sio salama sana. Maana kila baada ya masaa mawili au manne unatakiwa ubadilishe...pia watu wote walazimishwe kavaa face mask, vitambaa, kukinga pua na mdomo.
..hatua yoyote ya tahadhari ambayo iko ndani ya UWEZO wetu tusiache kuichukua.
Wewe ulitakaje kwani?Jamaaa anakera natamani corona imfuate huko huko alipo imchukue imtafune hvi ni mwanadamu kweli huyu au jinamizi tumeletewa