CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Ni kweli tukifunga mipaka uchumi utayumba vibaya sana. Maana majiran wanatutegemea.
Lakin ktk kipindi hiki mipaka ifungwe kwa muda... hatuwezi ki risk afya za watanzania in the name of money.
Hakutakuwa na faida yoyote tukiwa na taifa tajiri lakin lenye asilimia kubwa ambao ni wagonjwa. Hata huo uchumi utadidimia

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hiyo mipaka ndio inapatikana mishahara?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kwa hiyo sisi ni nchi tegemezi zaidi kuliko hata us waliopiga ban raia toka nchi za umoja wa ulaya kwenda marekani??

NAENDELEA KUAMINI SISI NI DONA KANTRI
 
Jamii za wenzetu ni wastaarabu wanafuata rules. Jamii zetu za kiafrika social distance wanaona kama adhabu.
Itakuwa ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpelelezi J. Hata Usa ni law enforcement agencies ndio wanasimamia haya. Nimeona wanaweka hadi cones kama alama ili mtu asimame hapo ili awe mbali na mwingine kama anakata ticket au la. Na sisi tuige hao waliofanikiwa. Na kama ikiwezekana ifanyike mapema.
 
..pia watu wote walazimishwe kavaa face mask, vitambaa, kukinga pua na mdomo.

..hatua yoyote ya tahadhari ambayo iko ndani ya UWEZO wetu tusiache kuichukua.
 
Sina nia ya kugombana nawe, wala na mtu mwingine yeyote. Wewe unaona ni sahihi ulivyoiingiza CCM kwenye bandiko lako? Kama nimeshindwa kuupata ujumbe wako kwa namna sahihi uliyokusudia - bear with me.
Mkuu unaitoaje ccm kwenye mauchafu ya nchi hii?
 
..pia watu wote walazimishwe kavaa face mask, vitambaa, kukinga pua na mdomo.

..hatua yoyote ya tahadhari ambayo iko ndani ya UWEZO wetu tusiache kuichukua.
Upo sawa lakini wataalamu wengi wanasema mask sio salama sana. Maana kila baada ya masaa mawili au manne unatakiwa ubadilishe.

Halafu unavyo ishika mara kwa mara kuiweka sawa unaweza kujikuta unajiambukiza. Ila inasaidaia kwa kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom