britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
GENTAMYCINE,
Rais wa Malawi mwaka 1964 aliugua ukichaa wakamficha Katunguru sehem moja maarufu

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ashazoea kudanganywa.Ninatumaini ana taarifa za kutosha juu ya huu ugonjwa kwa Waafrika!
Rais wa Malawi mwaka 1964 aliugua ukichaa wakamficha Katunguru sehem moja maarufu
Hahahawewe ulitusaliti ukaaga JF kaa hukohuko lockdown.
Uchochezi huu!!!!
Wakati wa Kikwete mlisema hakuna Rais wa Hovyo kama huyu mpaka mkadai mnataka Rais Dikteta sio huyu anayechekacheka. Leo mnadai hakuna Rais mshamba kama Magufuli. Tena sasa hivi mnasema eti Kikwete alikuwa 'bonge' la president. Sasa niwaambie; Watanzania sio nyumbu kama ninyi. Subirini kwenye uchaguzi wa Oktoba ndio mtajua Watanzania wana akili kuliko mfikiriavyo.Kwamba.....
1. Mipaka haifungwi ng'o na kwamba Watu waruhusiwe Kuingia hapa Kwetu Malawi
2. Watu hawatazuiwa Kutoka Majumbani
3. Makanisani Watu waendelee tu Kujazana
4. Tumuombe sana Mungu auondoe huu Ugonjwa
5. Tuendelee tu Kuchapa Kazi
6. Tusiogope wala tusitishane
7. Tusiwaige wengine katika Kukabiliana nao
Ndiyo maana nataka kurudi zangu tu Nyumbani Kwetu Tanzania na nitoke kabisa hapa nchini Malawi nilipo kwani kama kuna Mwaka ambao nchi ya Malawi imempata Rais wa aina yake basi ni huyu wa sasa.
Namshauri huyu Rais ' Kituko ' wa hapa nchini Malawi amuige Rais mzuri, mchapakazi, mkarimu na mkweli wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambaye kiukweli Yeye na Wasaidizi wake hasa Waziri wake wa Afya wanapambana kweli kweli katika Kukabiliana na hili Janga la COVID-19 na huenda kwa Juhudi zao za pamoja basi ama nchi yake ya Tanzania isiendelee kupata Maambukizi zaidi yatakayopelekea Vifo vingi au hata Dawa halisi ya CORONA ikatokea huko huko Tanzania.
Nawasilisha.
TView attachment 1415673
Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo.
Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya Dar es Salaam.
Lakini pia amebainisha kuwa kutokana na madhara ya #CoronaVirus upo uwezekano mkubwa wa kutokea kwa upungufu wa chakula, hivyo amewataka Wananchi kuzalisha chakula cha kutosha.
Pia, amesisitiza Wananchi waendelee kuchapa kazi kila mahali walipo huku wakichukua tahadhari ya kutokuambukizwa kwa kufuata ushauri wa Wataalamu na pia wasisahau kumuomba Mungu atuepushe na janga hili
Rais Magufuli ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Waumini wa Kanisa Katoliki katika Parokia ya Mlimani, Wilayani Chato mkoani Geita ambapo alihudhuria ibada ya Ijumaa Kuu.
View attachment 1415488View attachment 1415489
Rais wa Tanzania, John Magufuli akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita leo. Picha na Ikulu
That's My President; ever confident!View attachment 1415673

katika zama hizi kitu pekee kinachoweza kufichika kisijulikane na Mtanzania wa kawaida ni ufisadi unaofanywa na watumishi wa umma kupitia miradi ya mabilioni na matrilioni ambayo CAG kakatazwa kufanya ukaguzi. bila kusahau mipango ya kidhalimu inayofanywa na "watu wasiojulikana" - hii mwananchi wa kawaida haijui kweli.Walivyofanya Corona imeisha kwao?
Kila mtu ana mfumo wa ku deal na matatizo yake, hivi unataka kusema wewe na rais nani mwenye ACCESS mzuri wa kupata habari kuhusiana ukubwa au udogo wa hili tatizo?
Kwahiyo sisi tufe kwaajiri ya kutetea nchi 8!?Rais Magufuli amesema Serikali imeamua kutowazuia watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa sababu ya ugonjwa wa corona kwakutambua madhara yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivyo ndani ya nchi na kwa nchi 8 zinazotegemea huduma na bidhaa kupitia Tanzani
My take:
Huu ndio ukweli,tukifunga mipaka tutaathiri watu wetu na majirani zetu,viva jpm viva CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1415673