Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kusema ni rahisi kuliko kutenda,CHADEMA wakitaka kuandamana anawahadaa watanzania kwamba viongozi wa Chadema watangulie mbele na familia zao sio watangulize watoto wa wengine,sasa yeye kwenye corona anawasukumizia nyie wanyonge wa nchi hii huku yeye na akina Jesca wakiwa wamejifungia ndaniRais wangu mpendwa maanisha naomba uje Dar upite mitaani na upande mwendo kasi. Ukifanya hivyo basi salon yangu ya Manzese itakuwa wazi 24/7
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamuulewa tu Tundu LissuWaziri wa afya na wataalamu wake wanapitia kipindi kigumu sana,Juzi kawaita viongozi wa dini akiwaasa yakuwa sasaivi huu ugonjwa umefikia hatua ya kuambukizana sisi wenyewe kwa wenyewe,hadi hapo iyo kauli ipo katika hatua ya mshituko na taharuki
Makanisa, Miskiti yote ingefungwa. Ningepiga marufuku abilia kuingia na kutoka Dar, Mipaka yote ingefungwa isipokuwa wanaoleta chakula, dawa na bidhaa muhimu, Kumbi zote za starehe zingefungwa kila mlevi anunue pombe dukani akanywe kwake.
Mishahara yote ya umma ambayo ni kuanzia milion 3 ingekatwa 50% ili kununua chakula kwa watu masikini.
kweli kabisa Chadema pale ofisi zao za TBC wameanza kuona matokeo ya kauli za kupuuza Korona.Chadema wanaumia mno kusikia hii kauli walitaka waambiwe laleni mtaletewa chakula cha bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningebishana na wewe kwa hoja ila kwa kua umereply kwa matusi ninakublock tu so sitoonna upuuzi wako next time. Bishana kwa hoja nintakujibu kwa hoja sio unakuja na usen*ge, maneno makali hata sisi tunayaweza.
Ndio jukumu mojawapo la serikali kama imejipanga.Hata Hao MATAIFA makubwa yameanza kufeli.
Utapata wapi hela ya kuwahudumia wananchi wako mwezi mmoja na kuendelea wakati hakuna KAZI WANAZO FANYA? Masiya,
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"

Unafikiri kwa kutumia masaburi sio bure.Kweli ni upuuzi.
Kwani Dar sio Tanzania.mwabie aludi huku.kwenye raha tuponae kwenye shida anatukimbia.hana sifa ya kuwa kiongozi.
Wewe una rais au rahisi?Mwenyezi Mungu atulinde na kutuongoza. Ampe hekima ya kuendelea kuongoza Rais wetu
Unajitetea nini kwa huyo mpumbavu?Sijamaanisha Raisi mkuu mbona ujaelewa content yangu.
Niambie chato kaendalini.likizo yake ilishakwisha aliludi kwenye majukumu yake,kuludi tu ndio sekeseke likaanza la corona akapiga ndefu dar to dom.dom kalaa juu ya mawe palee kaona wanafki wengi watamletea corona akapiga ndefu mpaka chato,sasa katulia anasoma mchezo.Unafikiri kwa kutumia masaburi sio bure.
Unajua chato ameenda kipindi cha Corona tu?
Kwaiyo Corona chato haifiki?Niambie chato kaendalini.likizo yake ilishakwisha aliludi kwenye majukumu yake,kuludi tu ndio sekeseke likaanza la corona akapiga ndefu dar to dom.dom kalaa juu ya mawe palee kaona wanafki wengi watamletea corona akapiga ndefu mpaka chato,sasa katulia anasoma mchezo.
Kamuulinze anko wako.kwanini kakimbilia kule.Kwaiyo Corona chato haifiki?