CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Waziri wa afya na wataalamu wake wanapitia kipindi kigumu sana,Juzi kawaita viongozi wa dini akiwaasa yakuwa sasaivi huu ugonjwa umefikia hatua ya kuambukizana sisi wenyewe kwa wenyewe,hadi hapo iyo kauli ipo katika hatua ya mshituko na taharuki
 
Rais wangu mpendwa maanisha naomba uje Dar upite mitaani na upande mwendo kasi. Ukifanya hivyo basi salon yangu ya Manzese itakuwa wazi 24/7

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kusema ni rahisi kuliko kutenda,CHADEMA wakitaka kuandamana anawahadaa watanzania kwamba viongozi wa Chadema watangulie mbele na familia zao sio watangulize watoto wa wengine,sasa yeye kwenye corona anawasukumizia nyie wanyonge wa nchi hii huku yeye na akina Jesca wakiwa wamejifungia ndani
 
Waziri wa afya na wataalamu wake wanapitia kipindi kigumu sana,Juzi kawaita viongozi wa dini akiwaasa yakuwa sasaivi huu ugonjwa umefikia hatua ya kuambukizana sisi wenyewe kwa wenyewe,hadi hapo iyo kauli ipo katika hatua ya mshituko na taharuki
Tutamuulewa tu Tundu Lissu
 
Kampeni ya kupuliza dawa za kuua vijidudu/vimelea kama Mh.Makonda hapo Dar alivyotangaza iwe pengine kila wiki dawa inapulizwa.

Watu wa maabara waliopo nchini waangalie jinsi ya kutengeneza dawa ya kuchanaganya na maji itakayokuwa nafuu kwa wanyonge kuipata badala ya kutumia sabuni za kawaida.

Wananchi nao waache mambo ya kishamba ya kupeana mikono wakati kama huu..
Kazi na Sala.
 
Makanisa, Miskiti yote ingefungwa. Ningepiga marufuku abilia kuingia na kutoka Dar, Mipaka yote ingefungwa isipokuwa wanaoleta chakula, dawa na bidhaa muhimu, Kumbi zote za starehe zingefungwa kila mlevi anunue pombe dukani akanywe kwake.

Mishahara yote ya umma ambayo ni kuanzia milion 3 ingekatwa 50% ili kununua chakula kwa watu masikini.

Nakubaliana nawe mia kwa mia - Tuache utani
 
"Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani na kutofunga mipaka"
Halafu wakati huohuo anasema tufuate maagizo ya WATAALAMU

Hapa kuna mgongano wa mawazo - Watalaamu duniani kote wanashauri lock down Watalaamu wote wanashauri self isolation na social distancing, lakini hapa kwetu tunaona misikiti na makanisa inafurika watu. Kunawa mikono tu haitoshi !!!!

Angalizo -- Huko Vatikani na Mecca na kwengineko wanatekeleza ushauri wa wataalamu hapa tunapiga siasa za kidini- Jamani tuache utani Tuwe serious
 
So we were gambling right?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningebishana na wewe kwa hoja ila kwa kua umereply kwa matusi ninakublock tu so sitoonna upuuzi wako next time. Bishana kwa hoja nintakujibu kwa hoja sio unakuja na usen*ge, maneno makali hata sisi tunayaweza.
 
Hata Hao MATAIFA makubwa yameanza kufeli.
Utapata wapi hela ya kuwahudumia wananchi wako mwezi mmoja na kuendelea wakati hakuna KAZI WANAZO FANYA? Masiya,

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Ndio jukumu mojawapo la serikali kama imejipanga.
 
wabongo waliofungiwa ndani nje ya nchi na ufipa family ndio wanataka lockdown ianze ili fujo itokee bongo kwa maslahi yao, na kuna watu wavivu wengi , wachagua kazi, mabishoo , madalali , vijana wasio na ajira na wazee na vijana maskini wengi , hawa wote hawana cha kupoteza ukiruhusu fujo bongo basi itakuwa fujo kubwa sana watahakikisha hakuna duka hawajalivunja!!! , we cannot afford lockdown! wazenj wote wasiotaka muungano nao watapitia humo humo kudai viongozi wao wa uamsho na mapinduzi mapya ya Maalim, hii inaitwa kufa kufaana!

DJ na wenzake wa ufipa wanataka lockdown wapate new ajenda waachane na strategy yao outdated ya kutukana serikali majukwaani na kupigwa Tanganyika jeki na kupewa chai polisi na kuvunjwa mikono na miguu kwenye mageti ya jela na kufungua kesi ili wapigwe tena kisha walale mahabusu walipe faini na jela huku siku zinasonga wako mjini na mjengoni majimboni kutatua kero za wananchi ni mwiko!!

simple logic anaepata Corona ndo atibiwe tufanye huu ni kama ugonjwa mwingine tu, japo skuli wasogeze angalau hata wiki tatu zaidi.

Rais wetu yuko smart sana, ametumia utaalam unaitwa COST BENEFITS ANALYSIS!!
wavivu wanaotaka chakula cha bure cha msaada tena eti kwa kichaka cha kusema wako lockdown waletewe majumbani , wamekomolewa!! tufanye kazi Corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine!!

Mbowe Apinga Vikali Kauli ya Rais Magufuli Aliyoitoa Kuhusu Corona

See new Tweets
Tweet






Freeman Mbowe
@freemanmbowet

Prez JPM speech on Corona pandemic on Good Friday at his hometown church in Chato is simply pathetic! No lockdown coz he want to save the economy & his flagship infrastructure projects. The lives of our people can not be repaired but the economy can! Lockdown or get locked out!!


https://mobile.twitter.com/freemanmbowetz/status/1248835379677069314
 
Kweli ni upuuzi.

Kwani Dar sio Tanzania.mwabie aludi huku.kwenye raha tuponae kwenye shida anatukimbia.hana sifa ya kuwa kiongozi.
Unafikiri kwa kutumia masaburi sio bure.

Unajua chato ameenda kipindi cha Corona tu?
 
BENNICK,
Twende sawa malawi, Rwanda, Uganda, Burundi hao wote wamefunga mipaka, sijajua kwa Congo na Zambia. Be serious asset ya taifa lolote ni watu, Bila kuwa na watu wenye afya bora hii miundo msingi tunayajenga haitakuwa na maana yoyote ile Kama nguvu kazi itakuwa na afya zenye mgogoro.

Mimi nafikiri vita dhidi ya corona ni kubwa kuliko viongozi wetu wanavyoichukulia. Tulipaswa kuwa na lockdown kwa majiji yenye muingiliano wa watu hata kwa siku 21, hii itasaidia Sana kupunguza uwezekano wa ugonjwa kusambaa mpaka mikoani. Umoja na usikivu wa viongozi wetu wa vyama na serikali na wananchi kwa ujumla wetu ni muhimu Sana.

Tukichulia poa tutaishia kupoteza.
 
Unafikiri kwa kutumia masaburi sio bure.

Unajua chato ameenda kipindi cha Corona tu?
Niambie chato kaendalini.likizo yake ilishakwisha aliludi kwenye majukumu yake,kuludi tu ndio sekeseke likaanza la corona akapiga ndefu dar to dom.dom kalaa juu ya mawe palee kaona wanafki wengi watamletea corona akapiga ndefu mpaka chato,sasa katulia anasoma mchezo.
 
WHO utafiti wao mpya ndio umenichanganya zaidi, kwamba kirusi cha Corona kinauwezo wa kukaa hewani Kwa muda wa masaa kadha!!

Na Kwa maana hiyo, Kwa masaa hayo kirusi huyu kukaa hewani akipeperushwa Kwa upepo, sasa tunajifungia ili iwe nini sasa Wakati upepo huwezi kuufungia?,

Dawa yake ni kuvaa mask pekee na kunawa basi
 
Niambie chato kaendalini.likizo yake ilishakwisha aliludi kwenye majukumu yake,kuludi tu ndio sekeseke likaanza la corona akapiga ndefu dar to dom.dom kalaa juu ya mawe palee kaona wanafki wengi watamletea corona akapiga ndefu mpaka chato,sasa katulia anasoma mchezo.
Kwaiyo Corona chato haifiki?
 
Back
Top Bottom