Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusiombee ndugu, tena tusali sana pamoja na kuchukua tahadhari kama hizi, Kenya alifariki malaika wa miaka 6 tuMi nawaza tu hivi kuna kesi yoyote so far ya mtoto aliyepata corona?
Barakoa haikulindi wewe unaeva, inawalinda wanaokuzunguka ili ukikohoa usiwaambukize, sasa kwanini tunawaweka malaika at risk, kama inawezekana wasiwe wanatolewa nje, waachwe na mayayaMama avae barakoa, mtoto naye avalishwe barakoa.
Aisee inasikitisha sana mkuu, hatuombei lakini mara kumi waondoke watu wazima kuliko hao malaika wa Mungu.Tusiombee ndugu, tena tusali sana pamoja na kuchukua tahadhari kama hizi, Kenya alifariki malaika wa miaka 6 tu
SAHIHIUnakuta mama kajifunga barakoa halafu kabeba mtoto mgongoni na hana barakoa na anapanda nae daladala, hiki ni kituko!
Napendekeza iwekwe katazo la akina mama kutoka nje ya nyumba na watoto, badala yake watafute ndugu wa kuwaachia kabla ya kwenda kujitafutia riziki.
Nyie mnaonaje?
Nimemjibu mdau hapo juu kwa hoja yake ya kwamba kama mama hana wa kumwachia mtoto.Barakoa haikulindi wewe unaeva, inawalinda wanaokuzunguka ili ukikohoa usiwaambukize, sasa kwanini tunawaweka malaika at risk, kama inawezekana wasiwe wanatolewa nje, waachwe na mayaya
Sikweli barakoa inamrinda mwengine endapo wewe ni muathirika alafu umetoa (output) kutoka kwenye Pua au mdomo.Barakoa haikulindi wewe unaeva, inawalinda wanaokuzunguka ili ukikohoa usiwaambukize, sasa kwanini tunawaweka malaika at risk, kama inawezekana wasiwe wanatolewa nje, waachwe na mayaya
Sasa hivi kuna kitu kinaitwa local transmission, sehemu ambayo imekuwa affected sana kwa takwimu za Mheshimiwa Waziri Dada yetu Ummy ni Dar. Hivyo basi hapa kwetu Kilimanjaro wangeweka special surveillance kwa wanaoingia kutoka sehemu zilizoathirika sana. Hii tunayoita temperature screening haitoshi, maana utakuta mtu ndio yupo kwenye ule mwanzo wa infection anakuwa hana zile dalili za maambukizi hivyo anapita tu akionekana mzima, au mwingine anapiga zake panadola na homa inashuka halafu akipimwa anapita tu. Najua kuna biashara huwa lazima zifanjike nje na ndani ya mikoa, kiuchumi hii italeta balaa jipya kama watazuiliwa. Ningeshauri tu wale wahudumu wa kwenye mabasi wapewe mafunzo namna ya kuwa monitor watu kila baada ya lisaa. wakiona mtu anakohoa, na anapumua kwa shida basi wapige simu kwenye namba husika ili kwenye vituo vikubwa waweze kumpima huyo abiria na wanapomuona ana dalili zote basi wamuweke kwenye isolation ya hapo alipopimwa ili maambukizi yasisambae zaidi.Brother ombi lako kwa Mkuu wa mkoa ni kubwa mnoo ukilinganisha na mfumo wa nchi yetu inavyojiendesha inaweza ikawa ni moya ya majukumu yake ilikuhakikisha usalama wa mkoa kama mwenyekiti wa kamati ya usalama ila kufunga mipaka kwake inakuwa ngumu sana kutokana na mfumo wetu ulivyo kwa viongozi wa ngazi ya mkoa na wilaya, na sio mkoa wa kilimanjaro ni Mikoa karibia yote watu wanarudi vijijin na tusipoangalia hapa ndo transmission itaongezeka kwa kasi sana either Serikali ipandishe nauli kwa Kutoka Dar es salaama kuja mikoani au waifunge Dar es salaama hakuna mtu kuingia au kutoka ili tuweze ku control spreak kwenda mikoa menginge ila kwa muda huu utashachelewa na hatua izo za kuzuia maana watu wamesharudi wengi vijijin na spread ndo inapoanza hapo !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother ombi lako kwa Mkuu wa mkoa ni kubwa mnoo ukilinganisha na mfumo wa nchi yetu inavyojiendesha inaweza ikawa ni moya ya majukumu yake ilikuhakikisha usalama wa mkoa kama mwenyekiti wa kamati ya usalama ila kufunga mipaka kwake inakuwa ngumu sana kutokana na mfumo wetu ulivyo kwa viongozi wa ngazi ya mkoa na wilaya, na sio mkoa wa kilimanjaro ni Mikoa karibia yote watu wanarudi vijijin na tusipoangalia hapa ndo transmission itaongezeka kwa kasi sana either Serikali ipandishe nauli kwa Kutoka Dar es salaama kuja mikoani au waifunge Dar es salaama hakuna mtu kuingia au kutoka ili tuweze ku control spreak kwenda mikoa menginge ila kwa muda huu utashachelewa na hatua izo za kuzuia maana watu wamesharudi wengi vijijin na spread ndo inapoanza hapo !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Tunaomba mipaka yetu ifungwe kwa muda. Watu wanamiminika wakitokea Dar na wengine Kenya. wanatumia private cars. wengine mabasi yanayoingia usiku.
Wanaotokea Dar wanakuwa wanaogopa kuwekwa karantini. unakuta mtu labda alitoa msaada wa kumsaidia mgonjwa halafu akaja kusikia yule mgonjwa contacts wake wote wanatafutwa. hapo wao wanajiona wapo safe basi wanaamua kusepa na kukimbilia mikoani akiamini kuwa akiwa mikoani basi sakata la yeye kutafutwa litaisha bila kujua kuwa hata yeye anaweza kuwa ameambukizwa.
japo najua tukifunga mipaka kutatokea tatizo lingine zaidi ya corona ( maisha kuwa magumu ) Maisha magumu nalo ni janga jingine.
Mkuu !!! Kwa kasi ya corona , hill nalo huenda tumeshachelewaWasafiri wanapopanda mabasi ya kutoka Dar kuja mikoani, kila abiria aangaliwe kwa umakini, kiti alichokalia na ikitokea anaanza kukohoa, kuhema kwa shida basi inakuwa rahisi kupiga simu ili aweze kupatiwa isolation. vilevile kwa abiria waliokaa karibu nae yaweza ika viti viwili mbele na viti viwili nyuma waweze wapewe form maalumu waandike contacts zao ili iwe rahisi kufuatiliwa mbele na baada ya safari. Hii iwe ni kazi ya wale wahudumu wa kwenye mabasi, wawafuatilie abiria na kujua nyendo zao na hali zao ili waweze kupiga simu kwenye vituo vikubwa kwa msaada wa kupata huduma za afya.
Vilevile abiria wanapofika mwisho wa safari waangaliwe tena kwa umakini. Tukiatumia chombo cha kupimia joto peke yake hakitaleta majibu sahihi kama nilivyosema ugonjwa unaweza ukawa bado hautajitokeza wakati huu ama mtu akawa na joto la ugonjwa mwingine na akaambiwa ni covid 19 +.
hapa kama watatumia kipima joto basi yapaswa kuangaliwa kwa umakini sana na dalili zake kwa umakini.
Vilevile panapotokea amepatikana mtu mwenye dalili zote basi kuwe na usafiri wa haraka wa kumwahisha sehemu iliyotengwa kwaajili ya matibabu na sio mtu huyo kukaa na watu kumzongazonga.
HV una akili kweli we we mm Nina uhakika utakuja kufuta futa post yako hapa ugonjwa ukienea mikoa yote mtashindwa kuudhibiti na vfo vitakuwa vingi huku mikoani watu wanaumwa bila kujijuaKwanini.mnawapokea majumbani kwenu. Haya anaweza akawa na nyumba yake hajashukia kwa mtu..Kama unajua kuna mtu mgeni ameingia toka huko ulikosema kinyemela toeni taarifa kwa mjumbe, au mtendaji au mwenyekiti w kijiji au polisi au piga namba dharura zilizotolewa na serikali kwa ajili ya Covid 19....badala ya kuja kutoa ushauruli kwa RC huku JF. Kwanza nadhani mwenye mamlaka ya kufunga mipaka ya nchi ni Amiri jeshi mkuu tu...mkuu wa mkoa unamwonea hapo. Na wewe mwenyewe kama umepokea mgeni wa hivyo nyumbani mwako jisalimishe tu kwa maafisa afya, maana wewe na mgeni wako wote mpo kwenye fungu moja sasa
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Tunaomba mipaka yetu ifungwe kwa muda. Watu wanamiminika wakitokea Dar na wengine Kenya. wanatumia private cars. wengine mabasi yanayoingia usiku.
Wanaotokea Dar wanakuwa wanaogopa kuwekwa karantini. unakuta mtu labda alitoa msaada wa kumsaidia mgonjwa halafu akaja kusikia yule mgonjwa contacts wake wote wanatafutwa. hapo wao wanajiona wapo safe basi wanaamua kusepa na kukimbilia mikoani akiamini kuwa akiwa mikoani basi sakata la yeye kutafutwa litaisha bila kujua kuwa hata yeye anaweza kuwa ameambukizwa.
japo najua tukifunga mipaka kutatokea tatizo lingine zaidi ya corona ( maisha kuwa magumu ) Maisha magumu nalo ni janga jingine.