Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Hela tunazo cash tuta walipa wagonjwa afu tuwauwe
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115]WEWE UNATOA USHAURI KAMA NANI?SERIKALI YA CCM INAMIFUMO YAKE BORA YAKUPATA USHAURI KUTOKA KWA WANACHAMA NA SIYO KAMA WEWE.HATUTAFUNGA LAKINI TUTAHAMASISHA KUSALI ZAIDI BASI.KWANZA NCHI YENYEWE TUKO 60 MILION HATUWEZI KUFA WOTE
Mkuu umejificha Kigali au Dar? maana pote huko kuna CoronaUshauri wako ni mzuri sana ila umechelewa Kuutoa kwani tayari COVID-19 sasa inaanza Kuzoeleka ndani ya Miili ya wana Dar es Salaam wengi na pengine inasubiri Mvua hii Kubwa inayonyesha Jijini sasa ikate ( isimame ) ili Kirusi kianze ' Kutudondosha ' Mmoja baada ya Mwingine na sehemu za Maziko yetu zisiwe zimefurika sana kwa Maji ya Mafuriko ya hizi Mvua za Kutukuka.