CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

muda utaongea baada ya kamari kuisha. aliyeshinda na aliye shindwa
 
Chibudee,
Sawa kabisa ikwa kuwa kuishinda hofu ni chanzo cha maarifa. "To conquer fear is the beginning of wisdom- Routledge".
 
Wanajamvi, naomba tuombe kwa rais baada ya kufanya makosa kidogo kwa kuchelewa kufunga mipaka ya nchi na corona kuingia TZ, tuombe vile nchi zetu hizi hazina uwezo mkubwa kupambana na covid-19, tusifanye kosa lileliele au kama lile la kuachia corona isambaye nchi nzima, ni bora tukafunga mipaka ya mikoa hat kwa wiki 2 tu, tuone kama tunaweza kupambana na wagonjwa katika mikoa ambayo tayari kuna wagonjwa, we have limited resources we need to act intelligently, tubaki na DAR kimsingi maana mikoa mingine wapo wawil watatu tu n

Zanzibar nao vile vile Unguja na Pemba iwe no access

Tukibaki na dar pekee ama Unguja pekee, the fight back can be easy for us.
Please Tunaomba tu, kwa kuangalia uwezo wa nchi yetu COVID-19 ikienea kila mkoa kila wilaya kama alivyosema WAZIRI hatuna huo uwezo.

Naomba kuwasilisha, TUFUNGE MIPAKA YA MIKOA ILI kupunguza geographical size ya UGONJWA na KUPAMBANA NAVYO VILIVYO
 
Mabasi kuendelea kuingia nakutoka DSM nikukosa viongozi wenye maono.....hili la mabasi kuwa chanzo cha usambazaji sitaacha kusema......moja Askofu Ngara amenisaidia amefanya kwa vitendo
 
Ni ushauri mzuri ukisimamiwa vizuri. Iwe ni malori ya mizigo tu tena yasiyo na abiria wa tingo. Hakuna basi, gari ndo au chombo chochote cha moto kutoka nje ya mikoa kama Dar. Kuwe na kizuizi cha kijeshi maana polisi wetu ..du..sina la kusema.
Kizuizi kiwekwe sehemu huwezi vuka na hakuna njia za panya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEWE UNATOA USHAURI KAMA NANI?SERIKALI YA CCM INAMIFUMO YAKE BORA YAKUPATA USHAURI KUTOKA KWA WANACHAMA NA SIYO KAMA WEWE.HATUTAFUNGA LAKINI TUTAHAMASISHA KUSALI ZAIDI BASI.KWANZA NCHI YENYEWE TUKO 60 MILION HATUWEZI KUFA WOTE
fikirikwanza,
 
fikirikwanza,
Ushauri wako ni mzuri sana ila umechelewa Kuutoa kwani tayari COVID-19 sasa inaanza Kuzoeleka ndani ya Miili ya wana Dar es Salaam wengi na pengine inasubiri Mvua hii Kubwa inayonyesha Jijini sasa ikate ( isimame ) ili Kirusi kianze ' Kutudondosha ' Mmoja baada ya Mwingine na sehemu za Maziko yetu zisiwe zimefurika sana kwa Maji ya Mafuriko ya hizi Mvua za Kutukuka.
 
Ushauri wako ni mzuri sana ila umechelewa Kuutoa kwani tayari COVID-19 sasa inaanza Kuzoeleka ndani ya Miili ya wana Dar es Salaam wengi na pengine inasubiri Mvua hii Kubwa inayonyesha Jijini sasa ikate ( isimame ) ili Kirusi kianze ' Kutudondosha ' Mmoja baada ya Mwingine na sehemu za Maziko yetu zisiwe zimefurika sana kwa Maji ya Mafuriko ya hizi Mvua za Kutukuka.
Mkuu umejificha Kigali au Dar? maana pote huko kuna Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wenzangu, tumezoea kumuona Rais wetu Kipenzi Dr. JPJ Magufuli akiwa Magogononi au Chamwino. Muda takribani wiki tatu sasa Rais wetu hayupo Dar wala Dodoma

Tangu janga la Corona lianze, Rais wetu haonekani. Tunawaomba watanzania wenzetu popote pale nchini watujuze kipenzi chetu yuko wapi. Kutumia Twitter, Facebook, Instagram nk...Tujulishwe rais wetu yuko wapi. Tunamuhitaji arudi Dar au Dodoma #bringbackourpresident
 
Back
Top Bottom