Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipango ipo mbioni kukamilika,
Tunamshukuru Mungu Kupata Rais Mzalendo, anayeanza kupaendeleza Chato, baadae itafuata Mikoa Mengine
Sijaelewa vizuri namna wawekezaji watavyohamasishwa na uwanja
Hii screen short ni yako?Nami nimeona
View attachment 1149706
Nakusudia kushauri Kujengwe Casino moja Kubwa sana liwe Top Afrika Mashariki maana jiji halikosi Casino
Wacha niungane na wewe kushangaa!Hivi uwanja wa mpira unahamasishaje watalii?
Yaani watalii waache huko kwao kwenda kushangaa Wembley Stadium waje washangae Chato Stadium?
Haya bana.