Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Mambo yanogeeee keeeeeeleeeeeeeeeeeeeeeeewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Jamani eeh! Kwani hakuna wa Tanzania wenzetu huko? Si makampuni ya Utalii ya kibongo yatawekeza huko? Wakati wa JK mnakumbuka kila mikutano, events kubwa zilikuwa Ngurdoto Arusha? Sullivan nayo Arusha. Basi walishajengewa uwezo. Bagamoyo nayo ikaendelezwa. Sasa fursa ipo burigi chato tusubiri tuone maana yeye anatafuta vyanzo vya mapato vitakavyomsaidia kuwalipia mishahara ndugu zetu waliopo serikalini.
 
Huyu baba hana hekima wala akili, full stop.
Mwisho atawahamishia Ali Kiba na Diamond, Simba na Yanga huko kwao Chato.
 
Mipango ipo mbioni kukamilika,
Tunamshukuru Mungu Kupata Rais Mzalendo, anayeanza kupaendeleza Chato, baadae itafuata Mikoa Mengine
Ndoto nzuri itachukia miaka mingapi kujenga viwanja km hivyo nchi nzima
 
Wakimaliza wajenge Shopping Malls, Cinema na barabara za mwendokasi
 
niliwahi ona uzi hapa kuwa na bandari ya kisasa inajengwa sasa hivi chato
 
Back
Top Bottom