Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulijengwa na naniNakumbuka uwanja mkubwa wa michezo wa Ally Hassan Mwingi huko Tabora leo umedoda.
IHivi uwanja wa mpira unahamasishaje watalii?
Yaani watalii waache huko kwao kwenda kushangaa Wembley Stadium waje washangae Chato Stadium?
Haya bana.
Waziri mkuu naye anajenga uwanja wa mpira jimboni kwake,Mnyeti yeye huko kwao ameshauzindua uwanja wa mpira anaomiliki yeye binafsi,chato nako utajengwa uwanja wa mpira.
Fresh tu labda inawezekana sisi wapiga kura tunahitaji sana viwanja vya mpira kuliko huduma nyingine za kijamii.
Ulijengwa na nani
Haaa! hivi kale kausemi ka zidumu fikra za ..... bado kaatumikaUtakuwa ndo huu umeamishiwa chato.
Kwa hiyo anabana matumizi ili..
Charity begins at homeCHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania
___
Mipango ipo mbioni kukamilika,
Tunamshukuru Mungu Kupata Rais Mzalendo, anayeanza kupaendeleza Chato, baadae itafuata Mikoa Mengine
Ni bora waka jenga shamba la bangi .kuliko uwanja wa mpira kijijini
Pole sana ile fainali ilichezwa lindi mjini sio kule kwa waziri mkuu. Kule kwa waziri mkuu kumejengwa uwanja mkubwa ule wa lindi mjini cha mtoto.Kwa waziri mkuu mbona tayari....!
Kwani ile fainali ya shirikisho Lipuli vs Azam ilichezwa wapi?!
Hivi uwanja wa mpira unahamasishaje watalii?
Yaani watalii waache huko kwao kwenda kushangaa Wembley Stadium waje washangae Chato Stadium?
Haya bana.
[emoji28][emoji28] Bado Ikulu tu.
Kimei alishatoka CRDB f.y.iCRDB stadium, mfadhili mkuu ni crdb chini ya Kimei
Hii awamu ya tano tutajionea mengiRadio na Television Chato vinafuata