Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Watalii wata enjoy sana Kwa kushangaa uwanja wa mpira chato
 
Waziri mkuu naye anajenga uwanja wa mpira jimboni kwake,Mnyeti yeye huko kwao ameshauzindua uwanja wa mpira anaomiliki yeye binafsi,chato nako utajengwa uwanja wa mpira.

Fresh tu labda inawezekana sisi wapiga kura tunahitaji sana viwanja vya mpira kuliko huduma nyingine za kijamii.
 
watalii wakishashangaa wanyama watalala wapi? lipigwe hotel moja kali sana la nyota 12 na si hizi 5 tulizozizoea
 
Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga uwanja mpya wa mpira hivi karibuni katika wilaya ya Chato mkoani Geita

"Hivi karibuni tutajenga uwanja wa mpira wa miguu Chato Stadium ambao utatumika sana kuhamasisha wawekezaji na hasa watalii wanaotoka nje ya nchi yetu".
IMG_20190709_125535_100.jpeg
 
Yamesemwa hayo na Waziri Kalemani kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa mpira ili utumike katika kuhamasisha wawekezaji na hasa watalii kutoka nje!Tanzania mpya inawezekana 💪,kama utatoka povuutajijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom