Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Hivi kwa nini asimwambie mfalme wa Morocco ule msaada wa stadium akajenge Chato badala ya Dodoma?
 
Magufuli,
Nyerere leo angelunduka kila kitu mkoani Mara je mikoa mingine ingeendelea lini?
Acha ubinafsi.
Mtwara hadi Leo hujalipa korosho zao. Mungu atakuhukumu kwa kuwa hutendi haki.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-07-09-12-30-28.png
    43.2 KB · Views: 34
Walisikika wakijaribu kumfurahisha kuhani mkuu (Kayafa) kwa kuyapamba maeneo alikozaliwa, ili wapate kuendelea kumlamba miguu, hata pesa za wakulima waliokuwa wakiidai serekali hazikuweza kulipwa naam, masikini hana haki katika utawala wa Kayafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…