Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

CRDB stadium, mfadhili mkuu ni crdb chini ya Kimei
 
Kwani Chato siyo Tanzania?? Hicho kiwanja cha mpira kingejengwa Rwanda kwa hela za walipa kodi za Watanzania hii Taarifa ingekuwa big deal.... Kama ni Chato wacha tu kijengwe hadi 2030 tutakuwa na vigezo vya Tanzania ku host world cup...
 
mkuu hili lipo siku nyingi na mfadhili ni crdb na uwanja utaitwa crdb
 
tusihau na bahari....tukaijenge chato bahari ya kimataifa ili kiweze kuwa na bandari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…