Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

Kwa wasiomfahamu , huyu Katwale ndiye aliyeshiriki kuchoma moto ile gari ya Chadema wakati wa Ziara ya Tundu Lissu wilayani humo
Yale magari ya chadema mengi mabovu, taarifa za bima walikoenda kuomba fidia, zinasema gari lilijipiga shoti lenyewe, likawaka
 
Namuona Katwale akiapishwa pale Dodoma Bungeni, karibu siku hiyo angalau upate vipapatio vya kuku
Maneno yote hayo kumbe unapambania vipapatio vya kuku..??
Get a life young man, me nishatoka huko kwenye kununuliwa kwa vipapatio vya kuku, nyumba na viwanja. I can even give you a work that can change your life if you want, uachane na upuuzi wa kununuliwa kwa vipapatio vya kuku
 
Njoo ule vipapatio vya kuku wewe mla nchimabhoyo, nyambiti ebhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…