chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Yale magari ya chadema mengi mabovu, taarifa za bima walikoenda kuomba fidia, zinasema gari lilijipiga shoti lenyewe, likawakaKwa wasiomfahamu , huyu Katwale ndiye aliyeshiriki kuchoma moto ile gari ya Chadema wakati wa Ziara ya Tundu Lissu wilayani humo