Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!
tuliofiwa na dugu zetu ni ushetani unaofanyika leo
Asante sn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari snKama wewe[emoji28][emoji28][emoji28]
Unajuaje kwamba mizinga hiyo hiyo ilitumika kumuaga magufuli? Uliona namba zake?Hii tarehe Nina mashaka nayo.
Kabla ya tarehe 17 mwezi wa 3 kufika siku tatu nyuma niliona mizinga na wanajeshi wakitokea bagamoyo na kuelekea DAR.
...
Tupo pamojaDaima tutakukumbuka uliwatetea wanyonge mbele ya wanyonyaji na vibaka wa Mali za uma.
Ukaitetea nchi mbele ya ulimwengu wa dhulumu, kazi uliifanya na Mungu akujalie huruma yake isiyo na ukome.
Pumzika kwa amani shujaa wa taifa letu.
Nipo hapa CHATO kuhadhimisha mwaka mmoja wa Jemedari wetu JOHN POMBE MAGUFULI.
Kwa mtu mkubwa kama huyo hawezi kufa siku hiyo hiyo akatangazwa mda huo huo lazima kwanza watafte watakao kuwa wafariji wa taifa, viongozi wakitaifa, viongozi wa dini, NGO'S Na wengineHii tarehe Nina mashaka nayo.
Kabla ya tarehe 17 mwezi wa 3 kufika siku tatu nyuma niliona mizinga na wanajeshi wakitokea bagamoyo na kuelekea DAR.
Na mizinga hyo hyo ndo ilitumika kwenye kumuaga magufuli pale uwanjani.
Swali walikuwa keshakufa au walijua kuwa atakufa?wakajiandaa mapema
Unajuaje kwamba mizinga hiyo hiyo ilitumika kumuaga magufuli? Uliona namba zake?
Acha ujinga daraja LA busisi ni kiungo muhimu na mikoa ya geita,kagera na kigoma. Jaribu kuficha upumbavu wako maana wenyeji ndio wanaelewa umuhimu wa hilo daraja sio wewe mpuuzi mmoja.Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
SahihiHapa tuite usaidizi wa Mshana Jr
Huyu alijinasibu n udikiteita na matendo ya wazi wazi ya mauaji. Hao uliowataja ilibidi wawajibishwe na Katiba kwa yaliyotoke wakiwa watawala wakubwa , lkn ndiyo hivyo nchi za kiafrikaWale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.
Kombe alishughulikiwa na Mkapa miaka ile, Kubenea kumwagiwa tindikali, na yenyewe ni awamu ya tano?.
Haya masuala ni ya kimfumo zaidi, ni vigumu kumhusisha moja kwa moja Rais, kama kila dhambi inayofanywa na mfumo anahusika rais basi Kikwete na Mwinyi wangekuwa wameshazikwa zamani sana.
Mpe wewe hiyo unayoona ndio siku yakeKwanini wampe siku ambayo sio Yake?
Hii isingefanyika ukute leo tungelikuwa kama Somalia
Meseji hii irudi kwenu pia mataga na sukumagangs woteYani uwachagulie cha kufanya wewe kama nan?
Opinion zako zibaki kama opinion, sio fact za kufuatwa na kukubalika na kila mtu.
Hizi ni maiti za watu coco beach halafu jitu linasema eti leo kuna kumbukizi, mashetani watupu johnthebaptist
Wale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.
Kombe alishughulikiwa na Mkapa miaka ile, Kubenea kumwagiwa tindikali, na yenyewe ni awamu ya tano?.
Haya masuala ni ya kimfumo zaidi, ni vigumu kumhusisha moja kwa moja Rais, kama kila dhambi inayofanywa na mfumo anahusika rais basi Kikwete na Mwinyi wangekuwa wameshazikwa zamani sana.
Sifa kuu ya JPM ndio hiyo kuchukua maamuzi magumu.Kwa daraja umeelezea vizuri... But maamuzi hadi linajengwa hayakijikita kwenye majibu yako. Kuna mtu alikurupuka paaap!