Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Hakika JPM alijenga hii nchi kuliko Rais yeyote na ndani ya muda mfupi tu.

Apumzike kwa amani mbinguni.

Unaongea kana kwamba Tanzania ilianza mwaka 2015. Mimi nilimshangaa Magufuri alipomponda Nyerere kwanini akujenga ukuta wa mererani mwaka 1961. Bila kufahamu Tanzanite imevumbuliwa miaka ya 80 mwishoni. Yani wenyewe wanaichukulia Tazania ya 1960 ndio Tanzania ya 2015.
 

Wanaishi kwenye rejection. Wanajaribu kuonesha Magufuri alikuwa anakubalika. Angekuwa anakubalika asingefunga mtandao siku ya uchaguzi.
 

Acha kuwadharau waafrika. Umeona ndio wanastahili watu wa namna ile?.
 

Nabii Mussa wa wapi?. Mtu anabagua kundi fulani na kuliona halistahili ndio awe Mussa?. Mlimuita yesu ila haikutosha.
 

Mimi Magufuli sitamsahau kwa alivyotufanyia kwenye ofisi yetu, akabadilisha direction yote. Kuondoka kwake at least kulinifanya nijue Mungu wa kweli yupo ambaye sio mnafiki Kama mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…