Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Hakika JPM alijenga hii nchi kuliko Rais yeyote na ndani ya muda mfupi tu.

Apumzike kwa amani mbinguni.

Unaongea kana kwamba Tanzania ilianza mwaka 2015. Mimi nilimshangaa Magufuri alipomponda Nyerere kwanini akujenga ukuta wa mererani mwaka 1961. Bila kufahamu Tanzanite imevumbuliwa miaka ya 80 mwishoni. Yani wenyewe wanaichukulia Tazania ya 1960 ndio Tanzania ya 2015.
 
Hao ni vibaraka walioandaliwa kwa siku ya leo.

Watu wanaawaangalia tu kwa jinsi wanavyojifurahisha. Wanatumia nguvu nyingi sana kulazimisha huyu mtu akubalike na wanajitahidi sana kufunika maovu yake.

Wanaovaa mavazi ya kidini wanatumika tu kufanikisha huu mpango wa kujidanganya

Wanaishi kwenye rejection. Wanajaribu kuonesha Magufuri alikuwa anakubalika. Angekuwa anakubalika asingefunga mtandao siku ya uchaguzi.
 
Pmj na mambo mengine ile hyu mze alikuwa jiwe na mwamba kweli kweli nnchi nzima tulivyata mkia hakuna aliweza kunyanyua kichwa juu akabaki salama
Pmj na kuwafuga kina makonda na sabaya na kuua democracy kbsa Ila haiondoi kuwa huyu mtu alikuwa Ni rais Africa inataka

Acha kuwadharau waafrika. Umeona ndio wanastahili watu wa namna ile?.
 
Kipindi cha BBC Dira ya Dunia leo kimetumia zaidi ya dakika 7 kuelezea maendeleo mbalimbali yaliyoletwa na hayati Magufuli nchini Tanzania..

Wananchi wa maeneo tofauti wamehojiwa na wote wamesema Magufuli alikuwa kama nabii Musa aliyewatoa Waisrael Misri lakini hakufanikiwa kufika nchi ya Ahadi Caanan.

Source: BBC Dira ya Dunia

Nabii Mussa wa wapi?. Mtu anabagua kundi fulani na kuliona halistahili ndio awe Mussa?. Mlimuita yesu ila haikutosha.
 
Mangula kasema leo hakuna aliepewa kadi ya mwaliko wote waliokuwepo pale ni kwa upendo na mvua ikawanyeshea lakini wakakaa bado japo wapate maneno ya faraja iliwapunguze machungu yao….

Mimi binafsi yangu kwa leo Jaji Mkuu, Mpango na Mangula ndio walionifariji…

Mimi Magufuli sitamsahau kwa alivyotufanyia kwenye ofisi yetu, akabadilisha direction yote. Kuondoka kwake at least kulinifanya nijue Mungu wa kweli yupo ambaye sio mnafiki Kama mwanadamu.
 
Back
Top Bottom