Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Ibada ya wafu ni ushetani tosha hivyo Mungu ameamua kuwasambaratisha wafuasi wa shetani mliasafiri hadi chato
 
Kweli kamuenzi kwa kufanya Jambo jema sana.
Msilipize ubaya kwa ubaya, Bali baya kws jema...
...1..twajua MAGU alikuwa mmbaya sana na mtu mwenye kudharau jinsia KE,
...2...twajua alitaka tumuabudu
....3... Twajua baadhi walumuabudu hasa mapadre, wachungaji, mashehe
...4.. twajua ndiye mkufunzi wa makonda na sabaya

Ila kwa leo tendeni mema ili kufunika u aya wake na MUNGU wa mbinguni atukuzwe
 
Madikteta wana tabia ya kutaka kila wanachofanya kiwe cha kwanza. Sijui ni sifa au ni matatizo ya akili. Dunia nzima madikteta wanafanana tabia.

Tunashukuru sana Mungu kwa kutupa uhuru siku kama ya leo March 17th, 2021

Tunaona product zake kama kina Sabaya wakipambania uhuru wao ambao walikuwa nao alipokuwepo huyu mwendazake dikteta
[emoji28][emoji28][emoji28] mzee hata like 5 huna kwa ujumbe wako
 
Mara nyingi mvua huwa ni ishara njema inaponyesha.

Leo hapa Chato baaada ya ibada ya kumbukizi ya kifo cha hayati JPM kumalizika inanyesha mvua kubwa sana

Je hii ni ishara gani kwa kwa taifa letu?

Je huyu kiongozi alikuwa na baraka?
Mkuu!

Katika kipindi chote cha Magufuli hapakuwahi kuwa na ukame!

Ila alipikufa tu ndio tukasikia habari ya ukame na mabwawa kukauka

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu!

Katika kipindi chote cha Magufuli hapakuwahi kuwa na ukame!

Ila alipikufa tu ndio tukasikia habari ya ukame na mabwawa kukauka

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha jiwe usingeweza kusikia jambo lolote. Mungu ni mwema sana kwa kulidondosha lile libwana lidikteta
 
Kipindi cha jiwe usingeweza kusikia jambo lolote. Mungu ni mwema sana kwa kulidondosha lile libwana lidikteta
Kwamba mvua ilikuwa hainyeshi ila watu wakawa hawasemi?

Kwamba umeme ukikuwa unakatika na mabwawa kukauka ila watu wakawa wanaficha?

Hivi mnafikiri kila mtu kajaza mavi kichwani kama ulivyo wewe?

Mbona hata mama yako mzazi atadondoka kesho tu nae ni dikteta?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mvua ilikuwa hainyeshi ila watu wakawa hawasemi?

Kwamba umeme ukikuwa unakatika na mabwawa kukauka ila watu wakawa wanaficha?

Hivi mnafikiri kila mtu kajaza mavi kichwani kama ulivyo wewe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Watu walikatazwa kusema kama wananjaa au vyuma vimekaza. Mungu ni mwema sana. Dikteta katupwa kwenye tanuru la moto
 
Mlikatazwa kwenye familia yako?

Mungu hivi karibuni atamtupa mamako mzazi pia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mama yangu hata akifa hakuna shida wala mtu yeyote atakaye fanya sherehe juu ya hilo, sana tutaomboleza na kumwombea. Pia mama yangu siyo muuaji kama alivyokuwa jiwe. Wewe fikiria unafariki watu wanachinja ng'ombe kwa furaha. Bashite na Saambaya ni wateuliwa/wawakilishi wa jiwe.
 
Kweli kamuenzi kwa kufanya Jambo jema sana.
Msilipize ubaya kwa ubaya, Bali baya kws jema...
...1..twajua MAGU alikuwa mmbaya sana na mtu mwenye kudharau jinsia KE,
...2...twajua alitaka tumuabudu
....3... Twajua baadhi walumuabudu hasa mapadre, wachungaji, mashehe
...4.. twajua ndiye mkufunzi wa makonda na sabaya

Ila kwa leo tendeni mema ili kufunika u aya wake na MUNGU wa mbinguni atukuzwe
Umeongea vizuri sana, hebu tuwekee na uthibitisho wake ili yawe credible.
 
Mama yangu hata akifa hakuna shida wala mtu yeyote atakaye fanya sherehe juu ya hilo, sana tutaomboleza na kumwombea. Pia mama yangu siyo muuaji kama alivyokuwa jiwe. Wewe fikiria unafariki watu wanachinja ng'ombe kwa furaha. Bashite na Saambaya ni wateuliwa/wawakilishi wa jiwe.
Jiwe alikuua?
 
Mama anaupiga mwingi sana amewakaushia....mataga wanalipa hakuna chattle wala Magufuli day
 
Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Huwezi kumpa mashudu ng'ombe asubuhi halafu jioni akanenepa na kumpeleka mnadani,kama wewe ni mjinga endelea kuwa mjinga,ni vigumu kuelimika leo,
 
Mungu ni mwema kwa wote waliompenda na wasiompenda .ila Mungu alimpenda zaidi na alisikia maombi ya wengi ndio maana hayupo.Nchi imekuwa shwari,tuna amani mioyoni mwetu ,watu waliishi kama wako Ukraine why,watanzani walio wengi hawakujua wafanyeje wale waliokua na roho ya "nacist "walishangilia wenzao kufungiwa account, kunyanganywa hela kwa nguvu ,kupotea kwenye mazingira ya kutatanusha na pia kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi.Tuanatoa pole kwa familia Mama Janet na Watoto Mungu awape nguvu ila mmepumua sasa hata umenenepa mama yetu ingawa kuondokewa na Mume sio jambo jepesi
Ni kweli,vyeti feki,wazembe kazini,mafisadi,wala rushwa,na wauza UNGA,woote wana amani kwa sasa,
 
Back
Top Bottom