Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Hapana.ukweli usemwe ana busara hana mipasho Kama mama wengine.
Angekuwa mwingine angeshaita na mapress conference kibao tangu afiwe.
Mimi najua kumsoma mtu akiongea najua ni mtu wa aina gani
Mjifunze na vitu vya kusifia.
 
😂 kama nakuona hiv unavyolala huku macho yakiwa kwenye notification bar kuona uzi wako unaendaje
 
Mim mwenyewe namkumbuka sana huyu aliyeitwa YESU, huyu aliyetaka tumuabudu...
Nimejawa furaha sana kukumbuka alivyolala mbele za haki ...
 
Jamaa sio Siri wanazengo walikuwa wanamuelewa ...
 
Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.

Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.

Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.

Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Angekuwepo wangesema wamenunuliwa...
 
Mkuu huyu mwamba alipendwa na ataendelea kupendwa tatizo kuna watu wachache walichukia jamaa kupendwa na mpka sasa wanachukia mwamba kuendelea kutrend kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwamba hawakubali kazi zake bali wanachukia mwamba kupendwa na hivyo wanatafuta ubaya wa kila namna kumchafua lakini hachafuki.
 
Magufuli jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika mioyo ya watanzania
na wana wema wa afrika ukitoa wapumbavu wachache.
 
Pmj na mambo mengine ile hyu mze alikuwa jiwe na mwamba kweli kweli nnchi nzima tulivyata mkia hakuna aliweza kunyanyua kichwa juu akabaki salama
Pmj na kuwafuga kina makonda na sabaya na kuua democracy kbsa Ila haiondoi kuwa huyu mtu alikuwa Ni rais Africa inataka
 
Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.

Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.

Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.

Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.

Mangula kasema leo hakuna aliepewa kadi ya mwaliko wote waliokuwepo pale ni kwa upendo na mvua ikawanyeshea lakini wakakaa bado japo wapate maneno ya faraja iliwapunguze machungu yao….

Mimi binafsi yangu kwa leo Jaji Mkuu, Mpango na Mangula ndio walionifariji…
 
Kipindi cha BBC Dira ya Dunia leo kimetumia zaidi ya dakika 7 kuelezea maendeleo mbalimbali yaliyoletwa na hayati Magufuli nchini Tanzania..

Wananchi wa maeneo tofauti wamehojiwa na wote wamesema Magufuli alikuwa kama nabii Musa aliyewatoa Waisrael Misri lakini hakufanikiwa kufika nchi ya Ahadi Caanan.

Source: BBC Dira ya Dunia
 
Back
Top Bottom